REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,507
- 9,511
Mmmh alitakiwa asemaje?
Mmmh alitakiwa asemaje?
Mungu ameamua kumuumbua makusudi huyu mama alijikweza Sana Sasa ameshushwa na hatathubutu kujimwambafai mbele ya wanafunzi wa English medium wanaokipiga kingenge vizuri // mama waziri umeumbukaaaaaaaaaaaaaa hujui kingerezaaaaaaaaaaaaaaaaaa
TwafwaHapa akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina.
View attachment 1315270
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza cha kirundi
Ni hivi yeye kaongea kingereza halafu amount akataja kiswahili. Mimi ndo nimeitafasiri kwenda kingereza.Prof alisahau kusema million 150 kwa kingereza ?
Ebu tuambieni makosa mliyoyaona maana nashangaa mnasema kingereza cha prof tatizo mmeliona wapi matamshi, sentensi, maneno au wapi maana watu wanashadadia tu pasipo kusema kakosea wapi
Kumbukeni mama kingereza inaweza kuwa lugha yake ya tatu jifunza, ya kwanza kwa umri wake inaweza kuwa kiha, akaja kiswahili kisha akaja kingereza kwaiyo msitegemee mama akawa na matamshi mazuri kama mzungu
Kiukweli sijaona tatizo katika kingereza chake maana sentensi zake zinaeleweka, misamiati yake ina eleweka, sema tu sio mahiri yani hana ile floo ambayo wengi mlitaka muione
Kuna ajabu gani hapo sasa? Wabongo kwakujishongondoa tu hatujambo, utasikia mtu anamsifia mzungu anaeboronga kiswahili huku akimcheka mbongo mwenzie abaeboronga kiingereza, amaa kweli utumwa bado tunao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza kikisha kuwa affected na accent yako toka utotoni ndio inakuwa hivyo, na ma professor wengi iwe wa bongo au nchi zingine nao matamshi yao hayako sawa, hivyo kusomea canada ukubwani ni ngumu kubadilisha accent yake.Tena kasoma Canada with first class, Kuna shida mahala, ndo maana hazipendi English medium
Muhindi wewe achamamboyako nchi yetu ndo inaumia ,nyi wezetu mnapakwendaWakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzii PHD nazungumzia mfumo wa ufundishaji lugha ya kiingereza.Unajua maana ya phd wewe
Lugha ilikuja kwa jahazi hyoooNimerudia mara kumi cjaelewa huyu si kasoma mpaka PhD kwa kiingereza hiki ni kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno "and" kwanini lisiwepo?Bora yeye aliongea kwa kiswahili kuliko wewe madam uliyeandika kwa kiingereza, samahani lakini; inatakiwa iwe hivi; Tsh, one hundred fifty millions. Usiweke neno "and".
Helmet juu ya wigi, na huyu ni Professa. Elimu bure ni tatizo, sasa hapo itazuia ajali kweli???Hivi nini kazi ya Helmet
Ha ha ha hata hiki cha kuombea maji tu? Kama wewe ni mzee wa broken usipende kuchomekea chomekea maneno ya kiingereza. Sisi wote tunaongea broken ila tuwe makini kuropoka mbele za watu na media, tutachekesha walionuna!Wakuu Kiingereza ni Uprofessor vina uhusiano gani?
Professor wa Mathematics na Fluent English kuna uhusiano gani?
Almost my whole university life nimefundishwa na Ma Prof. Wengi ambao ni wa mambo ya sayansi.. wote wanaongea kiingereza cha kawaida tu.
I see no problem there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno "and" kwanini lisiwepo?
Kwa kutumia kanuni gani?
Btw zote zipo correct yenye "and" na isiyo na "and".
Ukibisha nipe muda wako turudi darasani.
Huyu mama anajidhalilisha na Uprofessa wake. Hapo anataka afokee watu ili baba Jeska asimtumbuae.Yaani anaongea hadi anatokwa na jasho huku akitafuta visentensi viwili vya Kiingereza