BBC ni staffs"Mwenzetu Roncliffe Odit anatathmini nyimbo 10, ambazo kwa mtizamo wake, ndio zilikuwa kubwa zaidi mwaka huu wa 2019…"
Hiyo article ina paragraph hiyo apo juu.
Acheni kupotosha.
Kwa hiyo ni mtazamo wake yeye kama yeye na sio BBC kama taasisi
Ule ni mtazamo wake binafsi na sio wa BBC acha kulazimisha .
Kuna wengine wanataka utajiri.Na kuna wengine tunataka pesa ya kusukuma maisha ya kawaida.Kiba hatafuti pesa,anafanya hobby tu msimfananishe na Dai ambaye anafanya biashara. Jamaa anahangaikia njuluku bhana!
Mtazamo binafsi wa staff kamwe hauwezi kuwa mtazamo wa taasisi in a corporate world . Acha kuwa na akili fupi wewe
Labda BBC swahiliThe 20 best songs of 2019
Artists that most defined an eventful year in music included Billie Eilish, Vampire Weekend, Rosalía and J Balvin, Lizzo, and of course Lil Nas X.www.bbc.com
Nyimbo 20 bora za BBC kwa mwaka 2019 ndio hizo hapo juu.
Acheni kiki za kimaku .
How comes unataka kudanganya watu kisengesenge hivi.
Hata kama unapewa hela kuposti ujinga inawezekana unapumuliwa pia manake sio kwa upuudhi huu
Nafikiri hata wa kiba ni mashoga