Search results

  1. McCarthy

    Je, ni TanzaNIa au ni TaNZAnia?

    Siyo tu wageni bali hata Watanzania wenyewe wanatamka jina Tanzania kwa namna tofauti-tofauti. Je, Matamshi sahihi ya jina Tanzania ni yapi? Je, ni TanzaNIa au ni TaNZAnia? KIELELEZO: Kwenye 'NI' na 'NZA' kwenye jina Tanzania hapo juu ndipo ambapo mkazo (sauti ya juu) kimatamshi umekuwa...
  2. McCarthy

    Ninatafuta kazi ya kuajiriwa kwa dhumuni la kutoa huduma za kifedha kwenye duka la uwakala wa benki

    Salaamu wanajamvi? Neema zoote kwa Baba Mungu/Allah. Rejea kichwa cha mada hapo juu kama kinavyojieleza. Kwamba, mimi ni kijana wa Kitanzania nikiwa kwenye 20's kiumri. Ninatafuta kazi ya kuajiriwa kwa dhumuni la kutoa huduma za kifedha kwenye duka la uwakala wa benki na/au makampuni ya...
  3. McCarthy

    Kunyolewa Nywele Kichawi

    Moja kwa moja kwenye mada Wakuu kuna mdogo wangu ameamka asubuhi akiwa amenyolewa nywele kichwani kasehemu kadogo kamviringo. Sifahamu aliyemnyoa na nafikiria kuwa amenyolewa kichawi... Je, hii ina maana gani? Wataalamu naomba msaada.
  4. McCarthy

    Swali kuhusu Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Moja kwa moja kwenye topiki... Ninafikiria kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nilikuwa na uhaba kidogo kifedha hivyo ninafikiria kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo. Je, Bodi ya Mikopo wanatoa mikopo na kwa wanafunzi wa Law School of Tanzania?
  5. McCarthy

    Swali kuhusu bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Haloo wanajamvi,.. Mimi ninahitaji kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nina changamoto ya kifedha kidogo hivyo nilikuwa nafikiria kuomba mkopo Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu; hivyo nilikuwa nina swali kwamba je, Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu wanatoa pia mikopo...
  6. McCarthy

    Msaada wa haraka juu ya kubadilisha jina la biashara

    Wakuu salama.. Naomba msaada: ninahitaji kwa anayejua utaratibu wa kubadilisha jina la biashara aweze kunisaidia maana nahitaji kubadili sha jina la biashara yangu. Na je, ipi ni rahisi au bora kati ya kubadilisha jina au kufuta biashara na kufungua upya kwa jina tofauti?
  7. McCarthy

    CRDB ATM's mbona hazifanyi kazi?

    Jamani nimezungukia ATMs karibia zote zilizo karibu na mimi za CRDB zote "closed". Kuna nini? Nimevunjika moyo sana!!!
  8. McCarthy

    Friji ya Kampuni ya vinywaji inahitajika

    Wasalaam wanajamvi... Moja kwa moja kwenye topic. Ni kwamba nahitaji friji. Friji hii iwe ya makampuni ya vinywaji mfano PEPSI, COCACOLA... Sasa basi ningependa kuuliza je, upatikanaji wake ukoje, yaani nawezaje kuzipata? Je, gharama zake zikoje? Je, gharama zinafanana kwa makampuni yote...
  9. McCarthy

    Abraham Lincoln once observed "any man can face atrocity but if you want to test a man's character give him power"

    Mtu yeyote anaweza kuhimili mikikimikiki lakini ukitaka kupima uwezo/tabia ya mtu fulani basi mpe madaraka/mamlaka/sehemu ya maamuzi
  10. McCarthy

    Kumbe Polisi akiua hanyongwi, wala hafungwi maisha, wala haadhibiwi kwa namna yoyote ile

    Ni kwamba askari anapokuwa anatawanya mikusanyiko haramu hafungwi, kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 - (Penal Code [Cap. 16 R.E. 2002]), kwa kuua. Kifungu cha 78 cha sheria hiyo kinaweka bayana.
  11. McCarthy

    Umwinyi(mamwinyi) warejea kupitia Tour guiding nchini Uganda

    Ni kwamba katika enzi za ukoloni suala la kuwaona watu wenye asili ya Afrika wakiwa wamembeba Mwarabu, au Mzungu lilikuwa ni suala lisilohaba hasa maeneo ya pwani. Vitendo hivyo vilifanywa hasa na watu wenye wadhifa wa Mwinyi(na waliitwa Mamwinyi), wakiwalazimisha manyampara, manamba na/au...
  12. McCarthy

    POSA

    Wanajamvi Mimi nipo hapa kuna mwanamke ninampango wa kumuoa. Sasa ninataka kutoa posa na bahati mbaya sijawahi kuposa wala kuona mtu akipeleka barua ya posa. Naomba kuuliza je, 1.Ni nani hasa anatakiwa apaleke nlvarua ya posa? Muoaji au ndugu zake? 2. Je, kwenye barua ya posa unasema nini...
  13. McCarthy

    The trend

    Tz?!
  14. McCarthy

    Msaada: Eneo la Mtambani linapatikana wapi Dar es Salaam?

    Salute... Wakuu naomba kufahamishwa kuhusu ni wapi eneo hili la "Mtambani" linapatikani Dar es Salaam...
  15. McCarthy

    DARUSO wavurugana kutokana na tofauti za kisiasa, Rais wao awatimua mawaziri watatu

    Viongozi wa Daruso waingia tofauti za kisiasa ...
  16. McCarthy

    Ni aina (kampuni) gani ya Friji ni nzuri na imara?

    Hali zenu wakuu? Basi naenda moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Ni kwamba mimi nahitaji kununua Friji kwa ajili ya kupozea vinywaji laini dukani. Nahitaji msaada kutoka kwenu wakuu kuhusu je; 1. Ni aina (kampuni) gani ya Friji ni nzuri na imara? 2. Gharama pia ni Tshs. ngapi? Mimi nina...
  17. McCarthy

    Una malengo gani na mimi?

    Wanajamvi habarini nyote Nimeulizwa na demi wangu "una malengo gani na mimi?" Nawaza nimjibuje. Nisaidieni ushairi/maoni Nawasilisha
Back
Top Bottom