wewe ni bushloyerNi kwamba askari anapokuwa anatawanya mikusanyiko haramu hafungwi, kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 - (Penal Code [Cap. 16 R.E. 2002]), kwa kuua.
Kifungu cha 78 cha sheria hiyo kinaweka bayana.
View attachment 700184View attachment 700186
Ha haaUlishaambiwa ile risasi (japo zilikuwa nyingi zilizopigwa) ilipigwa hewani ili kutawanya watu. Kwa ''bahati mbaya'', ile risasi ikashuka chini na kabla haijatua chini, ikapiga corner in a horizontal direction. Then ikamtwanga yule dada kichwani na pia ikapitia sikio la kondakta. Bongo raha sana.
Labda ndio maana Padre Manyanga alimsihi muuaji ajitokeze na kuwaomba msamaha Watanzania!Ni kwamba askari anapokuwa anatawanya mikusanyiko haramu hafungwi, kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 - (Penal Code [Cap. 16 R.E. 2002]), kwa kuua.
Kifungu cha 78 cha sheria hiyo kinaweka bayana.
View attachment 700184View attachment 700186
Ishu inakuja kwenye kuthibitisha bila kuacha shaka yoyote yenye maana (beyond any reasonable doubt) kama mkusanyiko ulikuwa haramu au la. Ndo hapo polisi wakishindwa kuithibitishia mahakama uharamu wa kusanyiko ndo polisi aweza kuadhibiwa kwa kuuwa nje ya matakwa ya kifungu hiki.kabla ya kupost huu UZI wako ungeenda jela kumtembelea askari aliyemuua mwandishi wa habari mwangosi..... nahisi usingepost huu upuuzi wako
Labda kwenye JF lakini siyo mitaani!! Pako patulivu sana mitaani watu wanaendelea kuchapa kazi tu wewe endelea na comments mfu ikija jitambua tuko mbaliii...!!Tunapo elekea, soon tutaanza kuchapana ile man to man
Ishu inakuja kwenye kuthibitisha bila kuacha shaka yoyote yenye maana (beyond any reasonable doubt) kama mkusanyiko ulikuwa haramu au la. Ndo hapo polisi wakishindwa kuithibitishia mahakama uharamu wa kusanyiko ndo polisi aweza kuadhibiwa kwa kuuwa nje ya matakwa ya kifungu hiki.
Kutofungwa kwa askari kunategemea na kama aliua akiwa ndani ya matakwa ya kifungu hiki?
Hivyo ataadhibiwa kama muuaji mwingine kwenye hali zingine tofauti na masharti ya kifungu hiki.