Msaada wa haraka juu ya kubadilisha jina la biashara

McCarthy

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
506
552
Wakuu salama..

Naomba msaada: ninahitaji kwa anayejua utaratibu wa kubadilisha jina la biashara aweze kunisaidia maana nahitaji kubadili sha jina la biashara yangu.

Na je, ipi ni rahisi au bora kati ya kubadilisha jina au kufuta biashara na kufungua upya kwa jina tofauti?
 
Kaka naujua ila hakikisha unakuwa na NIDA id kama huna nenda pale ushirika gorofa ya nane wanafast truck kwaajili ya biashara kupata hivi vitambulisho. Kubadilisha jina ni rahisi kuliko hiyo ya kufuta na kufungua mpya.

Kwanza unatakiwa kuhuisha "update" maelezo ya Jina lako la Biashara katika mfumo mpya wa ORS. Ili kuhuisha maelezo haya katika huu mfumo mpya unatakiwa uwe na 1. Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 2. TIN
Utajisajili katika mfumo huu(fungua website ya BRELA, ingia Business names, chagua Online Reg. System) ambapo ukishakuwa na akaunti itakulazimu kuweka maelezo ya jina la biashara yako nadhani katika kipengele cha Return. Maelezo hayo kama vile Jina, no ya usajili nk.
Kama utakuwa hujawahi kulipia "return" itakulazimu kulipa ili kuendelea na hatia inayofuata ya kubadilisha jina
Ukija upande wa urahisi nadhani inategemea na gharama, unadaiwa kiasi gani cha hizo return kwa muda ambao haujalipa jumlisha na 10,000 ada. Iwapo huna deni kubwa bhasi ni rahisi kubadili kuliko kuanza na jina jipya hasa kutokana na changamoto za kupata jina la kipekee.
Kwa maelezo zaidi
Karibu consultafrolinktz@gmail.com
 
Asante sana mkuu
 
Asante sana, mkuu
 
Back
Top Bottom