Muda mwingine ni dalili ya kupatwa na barango eneo hiloMoja kwa moja kwenye mada
Wakuu kuna mdogo wangu ameamka asubuhi akiwa amenyolewa nywele kichwani kasehemu kadogo kamviringo. Sifahamu aliyemnyoa na nafikiria kuwa amenyolewa kichawi...
Je, hii ina maana gani? Wataalamu naomba msaada.
Muda mwingine ni dalili ya kupatwa na barango eneo hilo