Friji ya Kampuni ya vinywaji inahitajika

Friji ya Kampuni ya vinywaji inahitajika

McCarthy

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
506
Reaction score
554
Wasalaam wanajamvi...

Moja kwa moja kwenye topic.

Ni kwamba nahitaji friji. Friji hii iwe ya makampuni ya vinywaji mfano PEPSI, COCACOLA...

Sasa basi ningependa kuuliza je, upatikanaji wake ukoje, yaani nawezaje kuzipata? Je, gharama zake zikoje? Je, gharama zinafanana kwa makampuni yote? Masharti yake pia yakoje?

Asanteni, najua humu ni fountain of knowledge...

Nawasilisha...
 
Ni vema ukaenda kuwauliza wafanyabiashara ambao wana mafriji hayo hapo hapo mtaani kwako. Utapata majibu zaidi
 
Back
Top Bottom