Swali kuhusu Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

McCarthy

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
507
1,000
Moja kwa moja kwenye topiki...

Ninafikiria kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nilikuwa na uhaba kidogo kifedha hivyo ninafikiria kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo. Je, Bodi ya Mikopo wanatoa mikopo na kwa wanafunzi wa Law School of Tanzania?
 
Dec 11, 2013
7
45
Moja kwa moja kwenye topiki...

Ninafikiria kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nilikuwa na uhaba kidogo kifedha hivyo ninafikiria kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo. Je, Bodi ya Mikopo wanatoa mikopo na kwa wanafunzi wa Law School of Tanzania?
Wanatoa mbona...tafuta guideline yao wameainisha kla ktu na law school imeorodheshwa na taratibu za kufuata.
 

Mr. Purpose

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
1,014
2,000
*KUTUMA MAOMBI BODI YA MKOPO (HESLB) /UHAKIKI WA VYETI RITA/ UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) 2019/2020.*

Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha sita na unataka kutuma maombi ya mkopo (HESLB)?

Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha 4 au 6 na unataka kutuma maombi ngazi ya cheti au diploma kupitia NACTE?

Je, wewe ni mtu uliyehitimu au kuendelea na elimu ila ungependa kutuma maombi ya mkopo au kufanya udahili wa ngazi ya cheti au diploma (HESLB)?

Je, unaye mdogo wako au ndugu mwenye uhitaji wa kutuma maombi bodi ya mkopo au udahili ngazi ya cheti kwa mwaka 2019/2020?

*TUNATOA HUDUMA YA KUTUMA MAOMBI YA MKOPO (HESLB)\ UHAKIKI WA VYETI RITA NA UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) POPOTE ULIPO.*

PIA KWA WOTE WENYE UHITAJI WA USHAURI AU MASWALI KUHUSU UOMBAJI WA MKOPO/ UHAKIKI WA VYETI RITA NA UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA 2019/2020 HUDUMA INAPATIKANA.

TUNAPATIKANA UBUNGO, DAR ES SALAAM KWA MAWASILIANO PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0752026992/ 0737728947.

N.B. HUDUMA INAPATIKANA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM NA HATA MIKOA MINGINE PIA.
KARIBUNI SANA 0752026992 /0737728947.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom