Search results

  1. jooohs

    House4Sale Nyumba Inauzwa Vingunguti

    Ukipata hata wakukupa 20M chukua kimbia. Sasa kwa hiyo space Tajiri akivunja atajenga wapi
  2. jooohs

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Yaa nimekurusuhu labda ni kweli unanifahamu.
  3. jooohs

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Ee nitajie jina langu moja kama kweli unanifahamu?
  4. jooohs

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Mimi mjomba wangu amenisaidia sana .aliwahi kuja kijijini akakuta nakomaa form 1 mazingira magumu siku anaondoka akanambia nitakusomesha hadi utakapo fika mwisho wa elimu yako. Kuanzia hapo alinilipia ada kwenye shule nyingine nzuri hadi namaliza fm4 na kila mwezi alikuwa akinitumia pesa ya...
  5. jooohs

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Aya basi usiende chuo ubaki kupambana na ujinga
  6. jooohs

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    Ndio hiyo hiyo dalili ama una nyingine? Kutoka na jasho usiku jee? Ila umeme huwa mtu anakaa zaidi hata ya miezi 3 ndio dalili za mwanzo kabisa hujitokeza halafu zinapotea
  7. jooohs

    Ewe Muajiriwa: Mara paap umesitishiwa ajira yako, utafanyaje?

    Mimi nadhani mtu akifukuzwa kazi atajikuta tu automatically anaingia kwenye mfumo mwingine either alijipanga ama laa . Mbona wengine ni jobless tunasurvive tu hivyo hivyo siku ikipita ndio unashukuru.
  8. jooohs

    Niseme nini, siwezi kueleza. Stori yangu na betPawa

    Mbona kama imetafsiriwa na google translate. Na kwanini kwenye tiketi yako odds kwenye mechi zote ni above 1.25 ndio ile ya kukidhi vigezo vya bonus? Mtaendelea kukosa wateja hadi mrudishe bonus ile ya 1000% bila vigezo.
  9. jooohs

    20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Majani huyu huyu?
  10. jooohs

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Mwenye masikio na asikie. Hata mazoea ya kujinga kijinga na kujichekesha kwa wake za watu sio vizuri.
  11. jooohs

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Waamaanisha bado ajira 43000 hazijatolewa kibali
  12. jooohs

    Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    Kumbe Israel ni mwanachama wa Nato ngoja niendelee kujifunza
  13. jooohs

    Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    Mimi naona inategemeana na kipato cha mtu
  14. jooohs

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nacho anaenda kuicost Madrid pakubwa. Hafai hata kuwa kwenye benchi la Madrid. Sema ndio hivyo alaba yuko injury
  15. jooohs

    Nilishuhudia Ujenzi wa Bwawa la Mtera, nikashuhudia mitambo ya IPTL lakini hili Bwawa la Nyerere alilojenga shujaa Magufuli ni kiboko!

    Tuache unafiki ila kama mgao wa umeme ndio ulikuwa hivyo pasipo hilo bwawa. Now Tungekuwa kwenye giza nene. Kifupi nilikuwa namchukia magu hasa kwenye ishu za ajira. Lakini huko aliko mungu ampiganie mzee kaupiga mwingi sana.
  16. jooohs

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Juzi nilipita kwa jamaa yangu ni bachela umri anazaidi ya miaka 35 ila nilichokiona ndani mwake nikama anaishi dampo. Yaani amepanga chumba na sebule lakini ukiingia ndani hujui chumba ni kipi na sebule ni ipi vitu vimetapakaa chupa za bia makopo ya double kick enegy nguo ziko kwenye kochi...
  17. jooohs

    Natafuta mke wa kuoa

    Humu utapoteza muda wako bure na mishangazi ambayo iko desperate. Kwa huo umri wako tafuta mtoto mbichi 19 hadi 22 utakuja kunishukuru baadae
Back
Top Bottom