Search results

  1. Machmadem

    Wanaume tu..!

    Habari za weekend jamani Tukiwa tumejisogeza maeneo tukiendelea kupata TRAB ya baridii na TRAT ya kuchoma. Naombeni tujikumbushe katika kikao chetu cha mwisho kipegele cha kuhonga pesa ya kusukia tulikubaliana Tsh ngapi? Tukumbushane jamani maana wengine madoja. Shukran.....
  2. Machmadem

    Natafuta kazi ya Clinical Officer

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ni muhitimu wa kozi ya Clinical Officer (CO) katika chuo flani hapa dar es salam. Natafuta kazi nina uzoefu wa kazi napatikana Dar es Salam. Nipo tayari kufanya kazi popote pale. Kwa yoyote anaye weza kunipatia kibarua au kunionganisha tuwasiliane...
  3. Machmadem

    Nasaha zangu kwa vijana mliomaliza Chuo

    Sina haja ya kuwapa pole wahitimu walio maliza elimu ya ngazi ya juu (chuo) zaidi ya kuwapongeza na kuwatakia mafanikio zaidi kwenye maisha. Ni vema wahitimu mkafahamu kua kumaliza chuo ni mwanzo wa safari nyingine ya mwendelezo wa kuya saka mafanikio.kuna maisha baada ya kuhitimu elimu (chuo)...
  4. Machmadem

    Naomba ushauri wenu katika hili

    Habali zenu Naomben ushauri jamani niko njia panda. Nifanye nini katika hili. Nipo katika mahusiano ni Taktiban miez 2 ila shida iko sehemu moja huyu bidada nilienaye ana wivu yes wivu haswaa uliopitiliza asione sim imepigwa atataka ajue, asione naongea na jinsia tofauti ndo kabisa ni mwendo wa...
  5. Machmadem

    Oktoba 28 kwanza naenda kupiga kura nikiwa na VITUMBUA vyangu kukabiliana na njaa kwenye foleni

    Habali zenu humu ndani, Zikiwa zimebaki siku 8 kufanyika kwa uchaguzi mkuu hivi ndivo nimejipanga kukabiliana na swala zima la uchaguzi. Wewe umejipanga vipi?
  6. Machmadem

    Usije juta kupitia makosa haya

    Habar za weekend zangu JF Kwa jinsi maisha yanavyokwenda kasi zaid ya ile ya mwanga haya ni baadhi ya mambo ambayo hutakiwi kupitia na kama umepitia basi hakikisha hurudii. 1. Matumizi mabaya ya pesa 2. Kusoma ndio maisha 3. Kukata tamaa bila kujaribu 4. Kukubali kila unachosikia/ambiwa 5...
  7. Machmadem

    Tukumbushane kuna maisha baada ya Uchaguzi

    Huyu jamaa ni genius alimpa ushauri makonda,akaupuuzia nadhani akiskia leo hii atamkumbuka
  8. Machmadem

    Badilikeni

    Habari polen na mihangaiko ya kutafuta rizik . Niende moja kwa moja katika mada kuu . Wewe mrembo wa JF .popote ulipo nakuachia Laana za kula nauli na kusema uongo ,ukaona umenikomoa umesahau ushatumiwa nauli na yakutolea na tukapanga kuonana afu unaleta bla bla zako 12:00 Nakuja 13:45 Ndio...
  9. Machmadem

    Nimemuacha lakini vijembe haviishi

    Habar zenu poleni na majukumu Niende kwenye mada, takriban mwezi na sehemu umesha kata huyu binti nilimpiga kibuti cha kimya kimya baada ya mizinga kushamiri ndipo nilipoona kuutua huu mzigo wa katani . Kiukweli sikuwahi ku benefits kwake zaid ya papuchi tu na ukizingatia anajishugulisha na...
  10. Machmadem

    Hii ni ishara gani dada zetu?

    Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate. Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli...
  11. Machmadem

    Je, mkiachana ni sharti kuwasiliana?

    Habari za muda huu wapendwa JF members Naomba niweke mezani mada hii kama kichwa kinavyo msema. Ni kawaida yangu siku zote katika mahusiano kitendo cha kuvunjika kwa mahusiano na mwanamke type yoyote, kwa mtindo wowote huwa sina utaratibu wa kuendelea na mawasiliano ya namna yoyote ikiwa...
  12. Machmadem

    Naomba ushauri juu ya mkopo ninaotaka kuchukua

    Habari za wakati huu ndugu wanaJF. Poleni sana na haya mapambano dhidi ya huu ugongwa, tuendelee kuchua tahadhari kama tulivyo elekezwa na watalamu wa afya. Naimani wengi wetu ni wazima ni jambo la kumshukuru muumba, pia kwa wale walio na maradhi Mungu awape Afya na wazidi kuimarika. Nirudi...
  13. Machmadem

    Elimu: Matumizi sahihi ya kuvaa barakoa (face mask)

    Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya barakoa (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake. Ingawa kwa wenzetu wa bara Asia hii desturi ya kuvaa barakoa ni ya kawaida kabisa katika maisha yao ya kila siku kwetu sisi huku haya ni “mashkolo mageni” kweli kweli. Sasa nataka...
  14. Machmadem

    Nakupenda ila please naomba unipe muda

    Habari za juma pili. Niende kwenye mada. Inshort ni mwanamke tulie achana miaka 5 nyuma ikiwa mimi ndio chanzo. Tumejikuta tunaingia tena katika kulingana na kila moja bado kua na feeling na mwenzake Lakini kuna unjumbe ambao nimepokea leo asibuh kutoka kwake nimebaki mdomo wazi sijui nijibu...
  15. Machmadem

    NAOMBA MSAADA WA KITABU CHA ABUNUASI

    Habali wadau Kama kichwa cha habali kinavo sadiki nitashukuru sana nikipata hicho kitabu. Ni hilo tu wadau.
  16. Machmadem

    MSAADAWENU KUHUSU HII HOMETHEATER

    Habali zenu wana jamvi Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater hakika sita muacha hai siku akingia kwenye kumi na nane zangu. Msaada kwa anayejua headquater za...
  17. Machmadem

    Uzi maalum kwa Ajili ya perfume na manukato mbalimbali yenye kukonga

    Wasalam.. kama head inavo jieleza maalum kwa perfume ,fragrance,body sprays na manukato aina zote kwa kuanza kabisa naweka hizi chache kama kuna zingine sizijui tujuzane #victorious silver (men) #I Am VIP(men) #Brillant(wom) #Safari(men) #Di rose signature(wom) #Dancer black(men) #Ally sport...
  18. Machmadem

    Nipo safarini, maombi yenu ndugu zangu

    habali za asubuh kama kichwa cha habari kilivo nipo njiani natoka mwanza-Babati tuombeane uzima wandugu . Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Machmadem

    Mwanaume rijali

    Habari, Kumekuwa na nadharia mbali mbali zinazo zungumzwa kuhusu suala zima la nyeto. Binafsi ningependa kutoa mtazamo wangu kuhusiana na hili suala Kila mwanaume rijali hata kama anademu wake lazima apige punyeto mara moja au mbili kwa siku hiyo ni human nature nikama madem wanavo ingia...
  20. Machmadem

    Africa billionaire abducted in Tanzania returns home safely

    habli wana jf (Reuters) - Africa's youngest billionaire, snatched a week ago off the street outside a luxury hotel in Tanzania, has returned back home safely, the family company that he runs said on Saturday. Mohammed Dewji, 43-year-old CEO of the METL Group family conglomerate, was seized...
Back
Top Bottom