Badilikeni

Machmadem

JF-Expert Member
Jul 9, 2017
758
933
Habari polen na mihangaiko ya kutafuta rizik .

Niende moja kwa moja katika mada kuu .

Wewe mrembo wa JF .popote ulipo nakuachia Laana za kula nauli na kusema uongo ,ukaona umenikomoa umesahau ushatumiwa nauli na yakutolea na tukapanga kuonana afu unaleta bla bla zako

12:00 Nakuja
13:45 Ndio Naoga
15:20 Navaa Nguo
17:35 Ndio Natoka
18:15 Nipo Kwenye Bajaji
19:20 Babe Sitakuja Mama Ameniambia Niwapikie Wageni Wanakuja.
Halafu Ukifika Miaka 35 Hujaolewa Unaanza Kuwasumbua Akina Mwakasege , Gwajima , Mwamposa Na Lusekelo
 
Mkuu si umroge tu mbona vitu vyengine mnalalamika wakati mtatuzi yupo..😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom