Machmadem
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 758
- 933
Habari za wakati huu ndugu wanaJF.
Poleni sana na haya mapambano dhidi ya huu ugongwa, tuendelee kuchua tahadhari kama tulivyo elekezwa na watalamu wa afya.
Naimani wengi wetu ni wazima ni jambo la kumshukuru muumba, pia kwa wale walio na maradhi Mungu awape Afya na wazidi kuimarika.
Nirudi katika mada yangu mimi ni kijana wa miaka 31 ni mwajiriwa lakini pia ni mfanyabiashara japo siyo kubwa sana lakini nashuru kwa hapa nilipofikia .
Baada ya kukaa chini na kutafari kwa kipindi kirefu juu ya mustakabali wa mambo yangu nikaona kuna haja ya kuvuta mkopo wa shiling million 10 kwaaajili ya kujiimarisha kiuchumi.
Mwisho Naombeni ushauri juu ya benk nzuri ambayo hakuna ubabaishaji wakati wa marejesho kwani tumeona watu wengi humu wakiwa wanalia hasa katika mambo ya mikopo nami nisinge penda initokee hivyo.
Karibuni