Je, mkiachana ni sharti kuwasiliana?

Je, mkiachana ni sharti kuwasiliana?

Machmadem

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
758
Reaction score
945
Habari za muda huu wapendwa JF members

Naomba niweke mezani mada hii kama kichwa kinavyo msema.

Ni kawaida yangu siku zote katika mahusiano kitendo cha kuvunjika kwa mahusiano na mwanamke type yoyote, kwa mtindo wowote huwa sina utaratibu wa kuendelea na mawasiliano ya namna yoyote ikiwa hakuna kitu kinachotuunganisha.

Je, hiyo iko vipi wana JF? Ni sharti kufanya hivyo?
 
Hakuna haja ya mawasiliano ukishaachana na mpenzi wako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwenye uislam tumeambiwa tupendane na tuachane kwa wema hivyo kuendelea kuwasiliana na kujuliana hali ni kitu chema.

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Nafuta na namba kabisa.. nna assume kama hujawahi kutokea duniani tukaja kuonana..
Ila ikitokea tumekutana mahali ukinisalimia nakuitikia fresh.. ila ndo hamna story
 
Kaa chini ufikirie wewe umepewa na Mungu ,na yeye amepewa na Mungu hapo ulipo una miaka 42 yaani bado miaka18 tu ukaliwe na mchanga hivi unashindwaje kupiga simu hata mara moja kwa mwezi?
 
Wahenga Wanasema ukitupa jongoo tupa na mti wake,
Wakaongeza ukiufanya mua ka mkongojo ipo siku utautafuna
 
Back
Top Bottom