Wanaume tu..!

Wanaume tu..!

Machmadem

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
758
Reaction score
945
Habari za weekend jamani
Tukiwa tumejisogeza maeneo tukiendelea kupata TRAB ya baridii na TRAT ya kuchoma.

Naombeni tujikumbushe katika kikao chetu cha mwisho kipegele cha kuhonga pesa ya kusukia tulikubaliana Tsh ngapi?

Tukumbushane jamani maana wengine madoja.

Shukran.....
 
Mkuu unauhika Mungu alipoumba wanamke wa kiafrika alisema waige wazungu ama ni dhambi tu tunajitafutia
 
Bei Elekezi (Tozo Inclusive) Naweka za nyongeza kwa manufaa ya wengi
Kusuka - 10k hadi 20k
Mama anaumwa - 20k.
Baby nna njaa - 10k

Wengine wataongezea, kama bei zimebadilika napokea updates

Note:: Zote hizo hatutumi kwa simu, anakuja kuzifuata getto au gesti
Mkuu linux umeleza vyema sana shukran umenitoa tongo tongo bila Shaka wew ni katika wa jumbe wa baraza kuu... Anaye pinga kwenye bonde tutaruka naye kwenye kona tutalala naye
 
Twende kilioni ni Moja Elfu.

Rasta.. mabunda 3@1500 na msusi atalipwa kumi elfu.. Jumla 15.

Kama hupendi makuu, futa hapo juu. Ila uwe na moyo.
 
Back
Top Bottom