Search results

  1. Avriel

    Wizara ya Afya: Dalili za corona Tanzania ni tofauti na nchi nyingine

    Waziri wa afya asema dalili za corona Tanzania ni tofauti na nchi nyingine duniani, aagiza uchunguzi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa kuna...
  2. Avriel

    Moyo usio na shukrani hukausha neema

    Nawasalimu wanajamii, Mnaopitia changamoto mbalimbali nawasihi mzidi kuwa imara na chanya mkiyapokea yanayowakabili ili kuachilia nguvu ya uponyaji kutoka kwa Mungu muumba ulimwengu. Leo nimekumbuka kisa cha umuhimu wa kushukuru kwa lolote utakalotendewa. Laumu na kukosa shukrani huvunja moyo...
  3. Avriel

    Mkutano wa mashauriano kati ya serikali, wafanyabiashara na wawekezaji mkoa wa Shinyanga

    Mkutano unaendelea ndani ya ukumbi Wa NSSF mkoani Shinyanga, mgeni rasmi ndugu Angela Jasmin Kairuki. Mkutano umewahusisha viongozi Wa SERIKALI ngazi ya mkoa na wilaya zote tatu za mkoa Wa Shinyanga yaani Kahama, Shinyanga na Kishapu pamoja na asasi na taasisi mbalimbali zikiwemo za dini...
  4. Avriel

    It Knows Me : Avriel K

    It Knows Me I seek the water I seek the trees I seek the heavens But I'm brought down my knees Yeah I know anger I know peace Yeah I know darkness And it knows me It knows me I felt the fire I've held the sword I fought desire But I lost that war Crying out in shame For goodness sake I tried...
  5. Avriel

    Hip hop bora kutoka Kahama

    Msikilize kijana anakuja na styles za akina Roma Mkatoliki.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Avriel

    Nimemuomba ex wangu aniombee msamaha kwa babe wangu

    Wadau mambo ni mengi muda mchache. Niliamua kumuacha ex wangu kisirisiri bila yeye kujua nikaanzisha mahusiano mapya nikijua ex atasoma tu alama za nyakati ata jimuvuzisha on na mwingine wala sikumbana sana katika hilo though niliendeleza mawasiliano nae kimtindo. Ajabu ex eti hajanisoma kama...
  7. Avriel

    Tetesi: Is Nandy really Tanzanian or Kenyan?

    Katika pitapita mitandaoni nimekutana na hili.... Wakenya wako vizuri sana hawa majirani zetu. Is Singer Nandy Really Tanzanian or Kenyan? Scooper - Entertainment News: Is Singer Nandy Really Tanzanian or Kenyan? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Avriel

    Mbunge Lameck Airo agawa pipi na bazoka kwa wagonjwa wodini

    Video fupi ikumuonyesha mbunge Wa Rorya ndugu Lameck Airo ( Lakairo) akigawa jojo na pipi kwa wagonjwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Avriel

    Rest easy nigga...Juice wrld ( ALL GIRLS ARE THE SAME)

    Hip hop lovers wamempoteza mkali mwingine leo maarufu kwa jina la Juice wrld. ardhi imejitwalia udongo wake ... Tujikumbushe na his hit song All girls are the same. They're rotting my brain, love These hoes are the same I admit it, another hoe got me finished Broke my heart, oh no you...
  10. Avriel

    A poem....When you fall ( the inspirer)

    The Inspirer When You Fall A Poem There are times when you just feel tired, tired of trying to fix things, tired of trying to carry on. You tried to write that book but it can’t be finished.. You tried to record that song but it won’t be heard You tried to dream but all felt hopeless You...
  11. Avriel

    366 DAYS OF COMPASSION

    366 Days of Compassion is a one year daily devotional written with original reflections, poems, prayers and motivational quotes on God's compassion for all of us. Each day's reflection is related to a Bible verse/scripture, resonating with inspiration, especially for those who are undergoing...
  12. Avriel

    366 days of compassion

    366 Days of Compassion is a one year daily devotional with original reflections, poems, prayers and motivational quotes on God's compassion for all of us. Each day's reflection is related to a Bible verse/scripture, resonating with inspiration, especially for those who are undergoing difficult...
  13. Avriel

    Mfahamu Darlan Rukih mwenye jinsia mbili(Huntha), aliyepitia changamoto nyingi mpaka kumtumikia Mungu

    Habari za kutwa wanajamii, Jamii ina changamoto nyingi mbalimbali zinazowakabili watu wake.. Baadhi ya changamoto zinapatikana ufumbuzi katika ngazi za kifamilia na jamii nzima kiujumla, lakini zipo ambazo familia yaweza toa ufumbuzi kwa kiwango chao na jamii ikashindwa kuishughulikia hatimae...
  14. Avriel

    Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

    WanaJamiiForums habari za mchana, Yule Daktari bilionea maarufu nchini kwa sasa ameonekana wilayani Kahama akiwa ni mgeni maalumu katika uzinduzi wa chuo hicho ambao unafanyika leo.. Picha zaidi nitatupia . Bilionea Dkt. Louis Shika ambaye amejizolea umaarufu mkubwa nchini Tanzania...
  15. Avriel

    Helloooo

    Ni member mpya kwa maana ya I'd. Nimekuwa nikiingia kama guest kwa kipindi kirefu.... Salaam zenu wanajamii wote.
Back
Top Bottom