Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,992
- 5,456
Wadau mambo ni mengi muda mchache.
Niliamua kumuacha ex wangu kisirisiri bila yeye kujua nikaanzisha mahusiano mapya nikijua ex atasoma tu alama za nyakati ata jimuvuzisha on na mwingine wala sikumbana sana katika hilo though niliendeleza mawasiliano nae kimtindo.
Ajabu ex eti hajanisoma kama nishamdelete yeye anakomaa na Mimi tu mpaka akagundua Nina mpenzi mpya ambae kimsingi ndio nataka fanya nae maisha maana ananifaa zaidi ya ex.
By the way huyu ex nimekuwa nae muda mrefu kwakuwa kiukweli amepitia magumu sana na mimi sikutaka kumuacha nikawa mtu wa karibu yake sana nikimfariji na kumtia moyo asijeharibikiwa.
Ex akagundua Nina mpenzi mpya akaniuliza nikamwambia kweli basi zitokea hapa na pale ila sikuacha kuwasiliana na ex nae kumbe hajanitoa kwenye mahaba yake.
One day ex si akaamua kumtell huyu partner material wangu kuwa mimi niko nao wote na ninamtumia kumharibia hisia na mazaga kibao akamtonya juu yangu aisee. Wakati anamtonya mimi niko na material partner pamoja, akaniuliza hizo tuhuma kweli?
Nikamwambia huyu sina uhusiano nae ni rafiki Wa muda mrefu basi ikawekwa loud speaker nahojiwa pale Mimi nikamkana sina mahusiano nae, ex alibwatuka sana anyways.
Mpenzi wangu akaumia nami sikupenda kitendo cha ex kunisemea vile. Maana akili yangu ilijua huyu ashakuwa ex kumbe hajanitoa akilini mwake dah...
Nikajieleza kwa mpenzi hanielewi akasepa pale ndipo Mimi kesho yake ikabidi nimtafute ex nimpange anisamehe kama hakugundua Mimi mapenzi kwake yaliisha nataka Fanya maisha na huyu na Niko serious nae this time yaani namuhitaji haswa.
Nikamuomba ex kwakuwa yeye ndio amekisanua basi aongee nae Mimi asiniache huyu mpenzi mpya nina future plans nae na yeye aendelee kuwa rafiki mwema tu atapata mpenzi mwingine Mimi aniache nifanye maisha.
Wadau nasubiri mrejesho mpenzi anirudie nina imani huyu ex lazima atayajenga tu coz uwezo wake naufahamu.
Maoni yenu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app