Search results

  1. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu. Ukimsikiliza Lissu anasema hakuna mbunge hata mmoja anayejua hata fedha zilizotengwa kununua hizo ndege. Hiyo ndiyo...
  2. Komeo

    Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa viti Maalumu Chadema, Mheshimiwa Upendo Peneza, katika mkutano wa hadhara uliyofanyika Ruangwa Mjini, akiwa kwenye ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani Lindi, Julai 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia...
  3. Komeo

    Katibu wa CHADEMA Morogoro asimamishwa kwa utapeli

    Habari Star TV Tanzania 17 hrs · Chama cha Demokrasia na Maendeleo |CHADEMA| Mkoa wa Morogoro kimemsimamisha Katibu wa Manispaa ya Morogoro Easther Tewete, kufuatia kukutwa na Tuhuma za kujihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao. Katibu huyo anadaiwa kuwatapeli watu tofauti kiasi cha millioni 100
  4. Komeo

    Nini kifanyike pale ndoto zisipotimia

  5. Komeo

    Ndege Bombardier Q400 inayotarajiwa kuwasili 19 Septemba

    Ndege kama hii ndiyo inayotarajiwa kuwasili tarehe 19 Septemba 2016. Ndege hizi zinaweza kutua kwenye viwanja karibu vyote nchini. Hii (kwenye video) ya Shirika la Ndege la Taifa la Rwanda ilipokelewa mwaka jana huko Kigali ikiwa mpya kutoka kiwandani.
  6. Komeo

    Kwanini tusifanye harambee ya kumchangia Mwenyekiti Mbowe?

    Jana tulidhani kwamba NHC waliishia kudai kodi ya pango la ofisi za gazeti tu, kumbe walifika hata kwenye kitega uchumi hiki. Tufikirie namna ya kumsaidia ulipaji madeni haya ili yalipwe yote kwa ukamilifu. Binafsi nashauri iandaliwe harambee asaidiwe.
  7. Komeo

    Chama cha ACT-Wazalendo mbona kimya?

    Siku chache zilizopita, ilikuwa haiwezekani ufungue jukwaa la siasa na usione nyuzi kadhaa za propaganda za chama cha Ndugu Zitto, namaanisha chama cha ACT. Siku hizi sioni tena hayo mambo. Hii pengine inaweza kusababishwa na mambo yafuatayo (I just guess):- i) Wameishiwa pesa za kuhonga...
  8. Komeo

    Pendekezo la kuwa na Msemaji wa Serikali

    Habari Wakuu. Ni mara nyingi tumeona mataifa mengi huwa na watu maalum wanaoongea kwa ujumla mambo mbali mbali ya Serikali husika. Hii ni kwasababu ya mahitaji ya umma kutaka kujua mara kwa mara mambo mbali mbali yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na Serikali husika katika lengo lile lile...
  9. Komeo

    Zanzibar yakosa eneo la kuteketezea tani 700 za unga wa ngano ulioingizwa huko kutoka nje

    Akihojiwa na ITV kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu, Afisa wa Bandari ya Zanzibar Bw. Islam Seif ameeleza kuwa wamekamata na kuzuia kiasi hicho cha tani 700 za unga wa ngano ulioharibika na kimsingi haufai kwa matumizi ya binadamu. Afisa huyo hakuitaja nchi ambako shehena hiyo imetoka...
  10. Komeo

    Natafuta clip ya Mbatia

    Heshima mbele kwa wote. Naomba mwanahabari au mtu yeyote mwenye speech yote ya Mh. James Mbatia aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari ikiwa ni reaction yake mara baada ya matokeo ya Form IV kutangazwa rasmi na Serikali. Nimeamua kuiomba hii kwasababu nahisi kama kila chombo cha habari kiliamua...
  11. Komeo

    Ndege ya ATCL iliyoharibika KIA, yatengenezwa DAR

    Matengenezo ya ndege ya ATCL iliyokuwa imepata ufa kwenye kioo cha mbele yalitarajiwa kukamilika jana, na ndege hiyo huenda ikarudi hewani leo. Iliruka bila abiria kutoka KIA hadi DAR mara baada ya kubaini ufa huo. Source: HabariLeo. My concern: - Ndege hiyo kama nayo ni chakavu sana bora...
  12. Komeo

    Lusinde a.k.a. Kibajaji kuongea.

    Kwa wale mliomiss matusi, pumba, kejeli na maneno yote ya kipuuzi, basi msikose kutazama au kusikiliza Bunge leo baada ya kipindi cha maswali na majibu, wakati mheshimiwa huyo atakapokuwa "akichangia" bajeti kwa niaba ya wananchi wake wa Mtera waliomtuma. Yeye ni mchangiaji wa 4 au wa 5 kama...
  13. Komeo

    Mawaziri Wakuu wastaafu!

    No comment!
  14. Komeo

    Polisi waliomuua Mgalula kufikishwa Mahakamani.

    Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari wake waliokuwa wanatuhumiwa kwa mauaji ya kijana Hassan Mgalula wa Urambo, Tabora. Kwa mujibu wa RPC Tabora, askari hao wanne (Konstebo Aidano, Jonathan, Mohamed na Khakimu) sasa wanakabiliwa na tuhuma za mauaji, na kwamba wanatarajiwa kufikishwa...
  15. Komeo

    Kenya Airways yaandikisha faida kubwa, ATCL sijui hawaoni?

    Jana shirika la ndege la Kenya limetangaza kupata faida ya katikati ya mwaka ya Kshs 2.8 billion (sijui ni sawa na Tshs ngapi) ikiwa ni Gross Profit. Source: Citizen TV ya Kenya. Naweza kusema Net Profit ni Kshs 1 billion, kwa kifupi biashara ni nzuri. Kinachonisikitisha ni hali ya kiuchumi...
  16. Komeo

    Magazeti yetu na kifo cha Gaddafi

    Samahani wakuu, kwa wale ambao mko na access ya gazeti la Al-Noor litokalo kila Ijumaa naomba mtujuze kama limeandika chochote kufuatia kifo cha Muamar Gaddafi, na kama wameandika wameonyesha msimamo upi kati ya "Pro" au "Anti" tukio hilo, au wamechagua kukaa kimya. Ujue gazeti hilo linapatikana...
  17. Komeo

    Ripoti ya Tume ya mionzi bado?

    Samahani wakuu, nimejaribu kuperuzi humu jamvini bila mafanikio nikitafuta kama kuna ripoti yoyote iliyotolewa na Wizara ya Afya kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume ya mionzi kule Arusha kuhusu samaki wanaodhaniwa/wanaosemekana kuwa na mionzi ya sumu. Kwa mara ya mwisho niliskia kuwa Tume hiyo...
  18. Komeo

    Kiti cha Presidaa kina nini?

    Samahani wadau, najua suala hili lilishawahi jadiliwa sana humu jamvini, lakini naomba tena kuuliza ili wanaolifahamu vizuri watujuze nasi. Jana usiku taarifa za habari za itv na tbc zilimuonyesha JK akisaini kitabu cha wageni kule VETA Ntwara (sijakosea, ndivyo inavyotamkwa), akiwa amekalia...
Back
Top Bottom