Magazeti yetu na kifo cha Gaddafi

Komeo

JF-Expert Member
May 3, 2011
2,498
1,171
Samahani wakuu, kwa wale ambao mko na access ya gazeti la Al-Noor litokalo kila Ijumaa naomba mtujuze kama limeandika chochote kufuatia kifo cha Muamar Gaddafi, na kama wameandika wameonyesha msimamo upi kati ya "Pro" au "Anti" tukio hilo, au wamechagua kukaa kimya. Ujue gazeti hilo linapatikana kwenye baadhi tu ya maeneo ya Dar, ndo maana sisi wengine hatuna access nalo. Samahani lakini kama kwa namna yoyote ile nitakuwa nimekwaza Watanzania wenzangu.
 
Back
Top Bottom