Mawaziri Wakuu wastaafu!

Komeo

JF-Expert Member
May 3, 2011
2,498
1,171
No comment!
 

Attachments

  • Mawaziri Wakuu Wastaafu.jpg
    Mawaziri Wakuu Wastaafu.jpg
    403.9 KB · Views: 739
Pius Msekwa alikuwa waziri mkuu wa Taifa la kusadikika au hili hili la Tanzania? Napata wasiwasi na fani ya uandishi wa habari kwa sasa imekuwa kimbilio la "failures" ndio maana habari nyingi zina makosa
 
????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Unafanya masiala na elimu ya chini ya mti, tena mwembe wenye matunda km sio kuwa na manunda kibao. Hata waziri huwajui afu unajitokeza public. Karudie kindagateni mkuu.
 

Tuelekeako sijui ni wapi... napata wasiwasi kizazi kijacho kitakuwa na madudu mengi sana ikiwa waandishi wetu historia imepita kushoto kulia..... Mungu tusaidie maana isijekuwa ni upepo unapita halafu haupiti ukabakia ndani ya vichwa vyao
 
Nilisoma hili neno kwenye kalenda fulani eti P.Msekwa ni waziri mkuu mstaafu, nikajiuliza alikuwa PM wa nchi gani jamani? kama ni S mstaafu hapo sawa lkn kwa PM a big no also a small no applies here, asenteniiiii ba ndg kwa kuniiiellewaaa, nadhani hawakuedit kasi yao ndiyo maana ina mikosa miniiingi tuuuu
 
Globoal college of hospitality Buguruni, journalism and TV presenter miezi mitatu...Chuo kina madhari nzuri ya kusomea. Inatazamana na kitua cha mabasi ya Buguruni..............
 
Back
Top Bottom