Search results

  1. enjai ya kyasha

    Christmas

    Feliz navida prospero ano y felicidad jamii forums members
  2. enjai ya kyasha

    Kwa ambao hatujafanya graduation za chuo kikuu kwa mwaka hu na miaka ilopita njoo tupeane uzoefu na sababu zilizochangia

    Wakuu mm ni graduate wa chuo flani hapa tz. Kama ilivyo ada pale mtu anapohitimu level flani huwa anafanya sherehe kwa ajili ya kujipongeza kwa kumaliza hatua hiyo mujarabu kabisa. Mimi katika historia yangu toka naanza kusoma sijawahi kufanya graduu yeyote zaidi ya sherehe ya dini form 4, hiyo...
  3. enjai ya kyasha

    Natafuta sehemu ya ku volunteer; Mimi ni mwalimu katika masomo ya geography na history

    Habari za asubuhi wapendwa katika bwana, Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu. Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit. Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa...
  4. enjai ya kyasha

    Naona nazeeka nkiwa kijana

    Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda. Tikiwa tunaendelea kufarijiana na msiba wa dada yetu kipenzi J. Magufuli naomba nowape kisa changu, kabla ya yote naomba ku declare interest kuwa mm ni kijana wa kiume mid 20s na stori yangu inatokana...
  5. enjai ya kyasha

    Mechi ya ngao ya hisani

    Wakuu habari za mchana naomba kuuliza hivi game ya mtibwa sugar v simba sc inachezwa sangapi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. enjai ya kyasha

    Natafuta kazi ya kufundisha english medium, o level au A level.

    Habari za mda huu wakuu. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu (BAED) masomo yangu ya kufundishia ni Geography na history lkini pia naweza fundisha kiingereza na civics. Naomba kwa yeyote anayeweza kuniunganisha na mkuu wa shule au mmiliki wa shule ambayo naweza pata kazi anisaidie. Natanguliza shukrani...
  7. enjai ya kyasha

    Hii tabia ya wasichana kugeuka nyuma pindi wakaribiapo kupishana na mvulana

    Wakuu habari za weekend, natumai mko vyema na mapumziko na wale ambao mpo kwenye majukumu natumai mnaendelea vizuri. Sasa kuna ishu hii huwa naiona kwa wadada yani mfano unatembea njiani af unakutana na msichana anakuja kwa mbele yako lakini ile mnakarbia kukutana anageuka kwanza kuangalia...
  8. enjai ya kyasha

    Msanii wa Hiphop maarufu kama 'Roho 7' yu wapi siku hizi?

    Habarini za mida bandugu wa JF, naomba kuuliza hivi yule msanii alitewahi kutamba na ngoma kama WAITE POLISI na NAKUPENDA HIP HOP, aliyepata kujulikana kama roho 7 siku hizi yu wapi maana nna mda mrefu simsikii kabisa. Mwenye taarifa zake atujuze humu.
  9. enjai ya kyasha

    Naomba kujuzwa kama kuna mtangazaji mkubwa wa redio na Televisheni za kiswahili ambaye hajapitia ITV na Radio one

    Wakuu habari za mchana huu, Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vyema kuijenga Tanzania ya viwanda. Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada; Mimi ni msikilizaji wa Radios na mtazamaji wa TVs mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi, ila katika usikilizaji wangu asilimia kubwa ya...
  10. enjai ya kyasha

    Natafuta mchumba wa kike age 18_25

    Wakuu waswahili husema mficha uchi hazai, nami nimeamua kuufuata msemo huu wa wahenga maana naona mambo yanakuwa sio. Am gentleman aged 25 natafta mchumba wa kuyajenga naye na ikibidi kuoana.Awe msafi msitaarabu mengine tutarekebishana ila kwa aliye Mwanza itapendeza zaidi maana nami Niko...
  11. enjai ya kyasha

    Tatizo la uume kuumia pale unaposimama(kudinda)

    Habari za mchana wanajamvi...... Poleni na mihangaiko ya kuijenga Tz ya viwanda na uchumi wa kati. Tikiwa tunaendelea kutafakari teuzi za ma RC(Malima na Mnyeti) naomba nisaidiwe kwa tatizo linalonisumbua, toka juzi uume wangu unauma hasa pale unaposimama nasikia kama kuna kitu kinanichoma kwa...
  12. enjai ya kyasha

    Video ya Fiesta Mwanza yamtia jirani yangu matatani

    Habari za mihangaiko wana MMU, Wakuu, leo kwa jirani yangu pamechimbika mke wake kaliamsha dude. Wakuu mda so mrefu nimeingia kwangu nikitokea kuijenga Tanzania ya viwanda, ila baada ya kufika ndani nasikia kwa jirani yangu makonde mazito yanatembea huku matusi na kelele zikisindikiza mpambano...
  13. enjai ya kyasha

    Hizi habari za kuangalia matangazo online na kulipwa zina ukweli wowote?

    Wakuu naomba msaada wenu kwa wale walio familiar na hii kitu. Leo nimetumiwa link flani nikaingia nikakuta ni issue ya matangazo yani the way unavyoview matangazo yao wanakulipa sasa naomba kuuliza hii kitu INA ukweli na je kuna aliefanya akalipwa naombeni msaada Ngoja niitafte link niiweke hapa
  14. enjai ya kyasha

    Kuna jamaa anachunwa pembeni yangu

    Wakuu, Nipo bar fulani naangalia taarifa ya habari huku napata na kisichana changu, sasa pembeni yangu amekaa jamaa na msichana wake msichana analia shida kichizi na mchizi anatoa hela, mi mwanzoni nilijua anazo kumbe jamaa kachoka vibaya mno. Kituko kimekuja pale msichana alipoenda washroom...
  15. enjai ya kyasha

    Ilaaniwe siku ya leo, nimekula chaga za mbavu hatari

    Wakuu kati ya siku ambazo nimetokea kuzichukia kwa upande wa Malovee bhasi ni siku ya leo...... Nimeamka asubuhi na mapema nikajiandaa kwenda kazini, ile nafungua geti nitoe ki baby walker changu nkakutana na mrembo matata akiwa amesimama karbu na nyumbani huku akionekana anasubiri...
  16. enjai ya kyasha

    Sitaisahau siku ya Jana

    *SITAISAHAU SIKU YA JANA* Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi, basi nami nimeona na kufanya mengi ila Jana ilikuwa kiboko. Asubuhi mida ya SAA 3 niliamshwa na meseji za WhatsApp nikaanza kuzipitia moja baada ya nyingine mara ghafla nikakutana na SMS murua na pendwa sana (kuhusu boom...
  17. enjai ya kyasha

    Msaada kwa anaejua bei ya circuit na betri kwa simu ya tecno L5

    Wakuu naomba msaada kwa anaejua bei ya circuit na betri kwa simu ya tecno L5 anisaidie kunijuza. Ahsanteni!! delta force
  18. enjai ya kyasha

    Samsung j2 inauzwa

    Simu ya Samsung j2 inauzwa bei ni 300,000Tshs kwa aliye serious karibu tubonge . Nb napatikana Mwanza mjini.
  19. enjai ya kyasha

    Nimefura kwa hasira

    Wakuu habari za mchana, Kama heading inavyosomeka mpaka mda huu nimefura kwa hasira natamani kila kitu nnachokiona mbele yangu nikipasue pasue. Stori iko hivi; Jana majira ya sa tatu nilianza kuchati na kimwana mmoja niliyekutana nae Eid akanipa namba yake. Kusema ukweli mtoto yule kajaaliwa...
  20. enjai ya kyasha

    Tatizo la uume kushindwa kusimama imara

    Wasalaam bandungu Kichwa cha habari chajieleza.Nina rafiki yangu ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa mwanachama wa CHAPUTA(chama cha punyeto Tanzania) kutokana ufuasi wake uliotukuka kwenye hicho chama kumempelekea uume wake kushindwa kusimama imara(kulegea) hata ukisimama mda mfupi tu unalala...
Back
Top Bottom