enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,072
- 3,600
Wakuu habari za mchana huu,
Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vyema kuijenga Tanzania ya viwanda. Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada;
Mimi ni msikilizaji wa Radios na mtazamaji wa TVs mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi, ila katika usikilizaji wangu asilimia kubwa ya watangazaji nguli ninaowajua naona wametokea au katika career zao wamewahi kufanya kazi ITV na radio one, kwa mfano;
Salim Kikeke
Charles Hilary
Isack Gamba
Millard Ago
Maulid Kitenge
Regina Mziwanda
Hao ni kwa uchache. Sasa naomba kuwaulizeni wana jukwaa!
Je kuna mtangazaji mkubwa wa radio na TVs za kiswahili hajatokea IPP media?