Hizi habari za kuangalia matangazo online na kulipwa zina ukweli wowote?

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
3,065
3,585
Wakuu naomba msaada wenu kwa wale walio familiar na hii kitu.
Leo nimetumiwa link flani nikaingia nikakuta ni issue ya matangazo yani the way unavyoview matangazo yao wanakulipa sasa naomba kuuliza hii kitu INA ukweli na je kuna aliefanya akalipwa naombeni msaada
Ngoja niitafte link niiweke hapa
 
Siokweli ela utamake in numbers lakini huwezi kamwe kuzidraw kiufupi ni wezi, maana hutakaa uweze kuzitumia
 
Mbna wameweka hata njia za Ku withdraw mkuu
Yes lakini ukiweka account uclaim hela hawakupi, wanachukua info zako kama email, jiina na account namba zinatumika kwenye scams,,,,huu utapeli ulikua unaongozwa nawatu wanajiota qmoneyclub, usipoteze muda wako boss.
 
Shukrani sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Kama hivyo
4fa3ffd0eed7f07d28cead7eb4e0f78e.jpg
 
Wakuu naomba msaada wenu kwa wale walio familiar na hii kitu.
Leo nimetumiwa link flani nikaingia nikakuta ni issue ya matangazo yani the way unavyoview matangazo yao wanakulipa sasa naomba kuuliza hii kitu INA ukweli na je kuna aliefanya akalipwa naombeni msaada
Ngoja niitafte link niiweke hapa
Endelea kuangalia utalipwatu wenzako tunachapakazi na kutafuta elimu
 
Back
Top Bottom