Natafuta sehemu ya ku volunteer; Mimi ni mwalimu katika masomo ya geography na history

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
3,062
3,584
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana,

Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.

Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.

Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.

Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.

Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.

Natanguliza shukrani.
 
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana.

Tafuta shughuli nyingine ufanye acha utumwa huo
 
Kama chuo umesoma Geography na history ishia hapo ukiongeza somo labda Civics/generala studies. Sasa ukiweka na literature itakuwa chuoni ulisoma masomo mangapi?
Mkuu nimesoma chuo geo na hist.
Lakini nina uwezo pia wa kufundisha lit. na comm. Skills maana nimeyasoma kutoka o level mpaka a level.
 
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana.
Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.
Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.
Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.
Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.
Natanguliza shukrani.
Nakushauri tuu ndugu hali ni mbaya sana sana kwenye nayo masomo hani hao walimu wapo wengi mno hivyo basis tafuta Shule ya msingi iliyokaribu na wewee ujitolee
Pili nakushauri tafuta fani nyingine mfano ,jifunze hata welding au kuchomea Kwa gas au refrigeration and air condion au fundi umeme wa magari au kuendesha makatapila hata ukija pata kazi baadae unakua na fani mbili kweli ualimu kwa serikali hii hali ni ngumu nakushauri fata nilichokwambi hutajuta !!? Mimi nimeamua kufanya mwngine nayafurahia maisha
 
Shukran mkuu.
 
Shukran mkuu.
Kipindi hiki itabidi ujishushe sana yani elimu iweke pembeni tafuta ujuzi ila nakuhakikishia baada ya muda mfupi umiupata ujuzi utafanya mambo kiusoma utaraise vizuri Ila wajinga wasioona mbele hawatakuelewa
 
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana,

Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.

Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.

Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.

Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.

Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.

Natanguliza shukrani.
leseni unayo, umesikia mkakati mpya
 
Kusanya watoto wa shule ya msingi na sekondari anza kuwafundisha tuisheni,sehemu kama ni mkristo kaombe eneo kanisani kama ni muislamu eneo la msikiti,
utaanza kwa tabu baadae mambo yatakua safi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom