Search results

  1. S

    Huyu ndio Alikuwa Profesa Kabudi wa Kweli. Hili Toleo la Pili ni Utata

    Akili ya Kabudi iliharibuwa na kikombe cha dawa ya kiasili ya korona toka Madagascar
  2. S

    Tahadhari: Kwa hali ilivyo tusishangae kushuhudia kifo au vifo kwa wanagombania kupanda Mwendokasi

    Waondoe ukiritimba, warugusu ushindani kwenye routes za mwendokasi na daladal ziwepo.
  3. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  4. S

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Huyu tayari ana nuksi 2. ...ya kwanza ni singo mama. Wa nini sasa huyu sshakuwa mtumba bin scraper? ...ya pili ana miaka 25. Kila kitu kimeisha muda wake. Wa umri huu wanakuwaga hata hawana hamu ya mgegedo. Tupa kule takataka hii.
  5. S

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Kuna mmoja akimaliza PhD chuo fulani cha nje 2011 mpk leo yupo kwenye korido za Lumumba kama chawa wa kuandika propaganda mitandaoni, analipwa laki 4 tu kwa mwezi. Kila mwaka anadanganywa atapewa uteuzi. Hivi unakuwaje na PhD halafu unakubali kuwa "chawa mzee"?
  6. S

    Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Mleta mada umeandika kitu tofauti na kile alichoandika Lema kwenye ukurasa wake wa X. Lema kaongelea fomu ya uenyekiti, wewe unaongelea urais. Hebu soma tena
  7. S

    Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Ndiyo maana huwa tunasema Lisu mmoja ni sawa na maCCM 1,000
  8. S

    Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

    Naunga mkono hoja. Hoja za Lisu ni:- 1. Kwann iwe dhambi kwa mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar, lkn mzanzibari anamiliki ardhi bara? 2. Kwann hairuhusiwi mtanganyika kupiga kura ama kugombea uongozi Zanzibar, lkn wazanzibari wanapiga kura na kugombea uongozi bara? 3. Kwann rais Samia ambaye...
  9. S

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Kwanini uvimbe? Huko kuvimba ndiyo ushamba wenyewe
  10. S

    Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Sababu ni moja tu. Chama chako kiko juu ya katiba na sheria kwa kuwa mwenyekiti wake kupitia kofia ya urais yuko juu ya katiba na sheria. Maono yake, maagizo yake na utekelezaji wake (rais) hauhojiwi na chombo chochote.
  11. S

    Arusha: Makonda akutana na Mwamposa na kufanyiwa maombi

    Kaimwaga lini hii kauli huyu mzee wa kuliamsha dude?
  12. S

    Arusha: Makonda akutana na Mwamposa na kufanyiwa maombi

    Ohooooo! Pengo na Mwamposa ndiyo washauri wabaya wa Makonda
  13. S

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe! Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
  14. S

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Kampuni za kitalii zilizopigwa faini ya $500 kwa kila mtalii aliyekuwa anakula mchana. Serikali haihusiki? Nilitegemea serikali ije na tamko la kuomba radhi badala ya kuja na upuuzi huu wa kukanusha. Kuna mkuu wa Wilaya pia amekiri kuwa wanaokula mchana ktk mwezi mtukufu wanavunja sheria kwa...
  15. S

    Wabunge kutembea na Bastola ni Demokrasia au Udikteta?

    Sasa huyu Ole mbona ni kama kashambuliwa na mwanaccm mwenzie Bashite ??
  16. S

    Wabunge kutembea na Bastola ni Demokrasia au Udikteta?

    Demokrasia inaigiaje kwenye mambo ya kutembea na silaha ndugu johnthebaptist ?? Naona kama unachanganya mchanga na ngano
Back
Top Bottom