Search results

  1. Husna Muba

    Je, kuna vyakula au vitu ambavyo mtu akila vitaongeza uwezo wa kusikia hata kidogo?

    Mko poa madr wa jf Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila vitaongeza uwezo kusikia hata kidogo?!kwa mfano asieona vizuri anaambiwa atafune karoti kwa wingi...
  2. Husna Muba

    Nina 50,000 nifanye biashara gani?

    Habari wakuu Mimi ni mama wa nyumbani mkazi wa uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku wana vipato vya chini. Sasa mimi nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri Ni biashara gani itafaa kutokana na mazingira niliyopo? Pia soma: Baadhi ya njia unazoweza kutumia...
  3. Husna Muba

    Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe

    Habari ndugu zangu Poleni na msiba Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe iko inaonyeshwa Azam two Sasa Mimi kuifatilia vile naona kuchelewa nimeitafuta YouTube nimekuta matangazo yake tu km Ni kipande basi kinakuwa Cha mbali vipande vya mwanzo sivioni Msaada plz
  4. Husna Muba

    Nikitaka kutoa hadithi kwenye pdf halafu niiposti kwenye mtandao wowote ule nifanyeje?

    Wakuu habari, Naomba mnijuze hili. Nikitaka kutoa hadithi kwenye pdf halafu niiposti kwenye mtandao wowote ule nifanyeje?
  5. Husna Muba

    Naomba kujua dawa sahihi za kutibu U.T.I kwa mama mjamzito

    habarini wakuu, Nina mdogo wangu ana mimba ya miezi minne sasa. Amekuwa analalamika maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia na akikojoa unatoka mkojo kidogo na maumivu. Sasa leo nikampeleka hospital akapimwa vipimo mbalimbali vipimo vingine viko ila amekutwa na UTI tu. Sasa Dr...
  6. Husna Muba

    Ni ipi dawa ya kutibu mdondo kwa kuku?

    Habari wakuu Naomba mnusaidie kunielekeza dawa ya kutibu mdondo wa kuku. Naomba iwe ya kienyeji bandugu
  7. Husna Muba

    Ni kweli smatphone zinaua macho?

    Habarini Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua. Basi nikaenda hospitali nikapimwa nikapewa dawa za kutumia mwezi mzima now sijambo ingawa bado naendelea na dawa Sasa watu wangu wa...
  8. Husna Muba

    Mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho nitumie dawa gani?

    Leo asubuhi kuna mdudu wa kuruka kaning'ata juu ya jicho paliumaa halafu pakaanza kuvimba mpaka now jicho limevimba balaa ila sikufanikiwa kujua ni mdudu gani Ushauri plz...
  9. Husna Muba

    Jinsi ya kuendelea kuwa maskini

    1.Usiamke mapema. 2. Usipange matumizi ya Pesa zako. 3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri. 4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi. 5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji. 6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao...
  10. Husna Muba

    Msaada: Maumivu ya kichomi upande wa ziwa la kulia

    Habarini wakuu naomba msaada wakitaalamu kuna kitu kinachoma kifuani upande wa ziwa la kulia linavyochoma ni kama kichomi ila nashindwa kukiita kichomi kwasababu kipo kifuani na sio mbavuni. Msaada wakuu
  11. Husna Muba

    Loh!

    Mtag mwenye mume wake mwambie upo nyonyo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . . . . .
  12. Husna Muba

    SIKUYAJUA HAYA

    Mbunye papuchi dushe..n.k Baada ya kuingia jf nikayakuta maneno haya yanatumika Mara ya kwanza sikuelewa yanamaanisha nn Na nilipojua maana yake nilijichekea pke yangu km chendu Heko kwa kwa mwanajf alieyatunga TANZANIA YA VIWANDA INAKUJA SOON
  13. Husna Muba

    Shetani

    Lakini Shetani ni m'baya sana.. Sa alikua anamjaribu Yesu eti abadilishe mawe kuwa mkate. Tungekua tunajenga nyumba na nini? imagine Unashindwa Kulipa Rent Landlord anakuja na Chai Anakula Nyumba yake Unalala nje?
  14. Husna Muba

    Bahati ya Mtende ya Muigizaji wa filamu ya Beast of no Nation, Abraham Attah

    #FAHAMU Muigizaji wa filamu ya Beast of no Nation, Abraham Attah (Agu) ambaye ni raia wa Ghana, hakuwahi kuigiza filamu yoyote kabla ya hiyo, alikutwa mtaani akicheza mpira na muongozaji wa filamu Cary Fukunaga na kumuomba aende kwenye usaili kama atapenda, na kweli akaenda na kufanikiwa kuwa...
  15. Husna Muba

    Biashara imedoda

  16. Husna Muba

    Modo

    Modo wa Kibongo Asia Mombo a.k.a Miss Kibiti katika photo shoot ya kuukaribisha mwaka mpya
  17. Husna Muba

    Mtindo

  18. Husna Muba

    Mwaka mpya

  19. Husna Muba

    KITUKO

    #Vituko Jamaa pichani raia wa Vietnam aliyetupa kisogo siku ya xmas juzi akiwa uwanja wa sita kwa sita alivunjika maeneo yake baada ya kujaribu styles za kufa mtu hivyo kiungo chake cha uzazi kuvunjika na kukimbizwa hospitali. Madaktari haraka walimfanyia upasuaji na sasa anaendelea vizuri hata...
Back
Top Bottom