Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe

Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe

Husna Muba

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
14,524
Reaction score
44,585
Habari ndugu zangu
Poleni na msiba
Mi naomba mwenye series ya KULFI anipe iko inaonyeshwa Azam two Sasa Mimi kuifatilia vile naona kuchelewa nimeitafuta YouTube nimekuta matangazo yake tu km Ni kipande basi kinakuwa Cha mbali vipande vya mwanzo sivioni
Msaada plz
 
Sawa Amaira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom