Biashara imedoda

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,567
004a185792b9f05a3a5c29c18b86d1df.jpg
 
aiseee....kwani kaenda wapi

Uyu jamaa, sialikanusha ii habari

Mbona mnatuchanganya,huyu jamaa si tumeambiwa hajakamatwa??

Bring back kutoka wapi??
Hamjamuelewa tu mleta mada masoud alivyotoweka tu jamaa akatengeneza t-shirt za bring back masoudy kipanya lakin hata siku mbili hazijapita masoudy akakanusha kupotezwa sasa jamaa mat-shirt yake yakawa yamedoda namna hiyo
 
ohoool
 
Good pointi
 
Back
Top Bottom