Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[HASHTAG]#Vituko[/HASHTAG] Jamaa pichani raia wa Vietnam aliyetupa kisogo siku ya xmas juzi akiwa uwanja wa sita kwa sita alivunjika maeneo yake baada ya kujaribu styles za kufa mtu hivyo kiungo chake cha uzazi kuvunjika na kukimbizwa hospitali. Madaktari haraka walimfanyia upasuaji na sasa anaendelea vizuri hata kujisaidia haja ndogo anaweza kama kawaida. Jamaa huyo mwenye miaka 26 amesema amekoma hatarudia tena