Je, kuna vyakula au vitu ambavyo mtu akila vitaongeza uwezo wa kusikia hata kidogo?

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,567
Mko poa madr wa jf
Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa

Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila vitaongeza uwezo kusikia hata kidogo?!kwa mfano asieona vizuri anaambiwa atafune karoti kwa wingi itamsaidia

Je asiyesikia vizuri atumie nini apate unafuu?!
 
Mkuu huyo Mtu wako anachotakiwa atibiwe ili aweze kupona maradhi yake. Vyakula haviwezi kumsababisha mtu aweze kusikia pasipo na kutibiwa na dawa . Nitafute kwa wakati wako nipate kumtibia huyo Mtu wako.
 
Mko poa madr wa jf
Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa

Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila vitaongeza uwezo kusikia hata kidogo?!kwa mfano asieona vizuri anaambiwa atafune karoti kwa wingi itamsaidia

Je asiyesikia vizuri atumie nini apate unafuu?!
Bure ghali mkuu nenda hospitali
 
Sikio,Jicho,Jino,Koo Usicheze navyo Mkuu. Vinahitaji uangalizi wa Hali ya juu. Mpeleke hospitali ya mkoa au Kama upo Dar nenda Muhimbili.
 
Halafu wakuu tuache kunyonya masikio Hadi kupasua ngoma/ ngome zake tutawasababishia UZIWI wenzetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom