Nikitaka kutoa hadithi kwenye pdf halafu niiposti kwenye mtandao wowote ule nifanyeje?

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,567
Wakuu habari,

Naomba mnijuze hili.

Nikitaka kutoa hadithi kwenye pdf halafu niiposti kwenye mtandao wowote ule nifanyeje?
 
Nenda Playtore search na Kisha download na kuinstall hii kitu hapa Lisa ifungue halafu search hiyo document yako, na kazi utakuwa umemaliza!
Screenshot_20210205-201215_1612545210304.jpg
 
Wakuu habari,

Naomba mnijuze hili.

Nikitaka kutoa hadithi kwenye pdf halafu niiposti kwenye mtandao wowote ule nifanyeje?
Cha muhimu zaidi ni kujua hio pdf ipo mfumo wa text ama picha.

Kama ni text tu utaweza copy maandishi na kupaste mahala pengine.

Kama ni picha ni hadi utafute software ya ocr (optical character recognition) Kisha hio software I extract maneno toka kwenye picha halafu Ndio uyapaste.
 
Back
Top Bottom