Search results

  1. Bongolander

    Watu wakimsifia sana kiongozi, anza kuwa na wasiwasi. Wanaomsifu wana hila

    Nakumbuka siku moja JK aliwahi kusema alipokuwa mbunge alimpa lift bwana mmoja wa jimbo lake, na wakiwa kwenye safari alianza kumuuliza maswali mbalimbali kuhusu hali ya jimbo na wanajimbo. Bwana huyo aliishia kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, kwa kummwagia JK sifa kemkem, kuta amefanya kazi...
  2. Bongolander

    Chaguzi ndogo na "ujinga" wetu watanzania

    Kwanza kwa unyenyekevu mkubwa naomba msinielewe vibaya kwa kuanza na kichwa chenye ukakasi kiasi, nikaonekana natumia lugha mbaya.Ujinga ni hali ambayo inaweza kuondolewa kwa kuelimishwa, so it is not a permanent condition na isieleweke kuwa ni tusi. Nimekuwa naangalia chaguzi ndogo kwa jicho...
  3. Bongolander

    Tunahitaji mtu mwenye AUTHORITY kuongelea soka, sio kila mtu anaweza.

    Kwa mara nyingine tena katika historia ya michezo Tanzania, limerudi tena jambo la ajabu na la kijinga, la watu wasio na utaalamu wowote na soka kuongelea soka bila kujua hasa ni nini wanaongelea. Hali hii imekuwa inajirudia na kujirudia kila timu yetu inapokuwa kwenye michezo ya kimataifa...
  4. Bongolander

    Si kila Mtanzania ni kichwa cha panzi. We have made progress under Magufuli (For sure more needs to be done)

    Wakuu Great thinkers, napenda mijadala ya kwenye jukwaa hili maana wachangiaji na wakosoaji wanaotumia hoja na busara kuchangia, kukosoa, kushauri na kurekebisha. Watunga sera makini wanafuatilia sana jukwaa hili, kwa kuwa wachangiaji, hata kama si wote wenye weledi, walio wengi si mbumbumbu na...
  5. Bongolander

    Israel tried to attack Iran on 3 occasion

    Kwenye mambo ya kijeshi Israel ni sawa na Brazil kwenye soka. Achana na ushabiki kama huo, jana Channel 2 ya Israel imeripoti mahojiano na Ehud Barak kuwa walifikiria mara tatu kusihambulia Iran kati ya 2010 na 2013, lakini mara zote waliona mambo magumu, na wakuu ndani ya jeshi walisema majibu...
  6. Bongolander

    Ashley Madison, any Tanzanian?

    Wakuu wakati tunaendelea na mijadala, hebu tuangalie kinachowamaliza wanasiasa kwenye nchi za Magharibi. Hii tovuti ukiweka username au e mail ya mtu utajua kama alitumia huduma ya Ashley Madison. Najaribu kuweka majina ya wanasiasa wetu naona kizungu zungu, jaribu ujionee, nimeanza na Lowassa...
  7. Bongolander

    Tujikumbushe ya Nyerere na kutafakari: Upinzani wa kweli umetoka CCM?

    Wakuu Mchambuzi, Nguruvi3, Pasco, FaizaFoxy, Mwanakijiji, Zitto, Mchunguzi na wengine wengi Tubadilishane mawazo kidogo wakati wagombea wanaenda kuchukua fomu. Tutumie muda huu kutafakari mawili matatu yanayaoweza kutokea. La kwanza, ni kwanini kauli ya Nyerere ya kukosoa azimio la Zanzibar...
  8. Bongolander

    Kati ya hizi, ni habari gani iliyokugusa sana katika mwaka 2014? Kwanini?

    1. Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliosababisha vifo vya maelfu ya watu Afrika magharibi 2. Kuibuka kwa kundi la ISIS nchini Syria na Iraq na juhudi za kimataifa za kupambana na kundi hilo 3. Waziri Mkuu wa China Bw Li Keqiang barani Afrika na ahadi ya kuisaidia Afrika kujenga na kuimarisha...
  9. Bongolander

    Dk. Hassan Kitine dhidi ya Upson Mwang'onda kuelekea 2015

    Wakuu katika hali ambayo si ya kushangaza sana, wiki hii tumeona two heavyweights waliokuwa wakuu wa TISS wanatia uzito wao kwenye uchaguzi 2015. Inaanza kuonekana wazi kuwa kwa sasa ni kama ndoto ya Urais ya Kitine imeyeyuka kabisa, baada ya kufanyiwa zengwe huko nyuma. Kwa hiyo ni kama sasa...
  10. Bongolander

    Kagame on spotlight again

    Bha Murakoze I have decided to share this with you to have an insight of what this man is saying about PK. This man, if he is what he says he is, and Politico being a reputed news outlet in US, are shedding the light of what were hear says. It will be good to look at his comments in an...
  11. Bongolander

    Tuangalie nchi zetu kwenye utafiti huu

    Overall Rankings — The Good Country Index Tahadhari. Huu ni utafiti uliofanyika nje ya Tanzania kwa hiyo hauko biased kwa watanzania, lakini kama tunaona tumepakwa mafuta kwa mgogo wa chupa tujikosoe
  12. Bongolander

    Mzee Msekwa, ni kweli mawaziri ni uamuzi tu wa Rais? kama anavyopenda?

    Wakuu ni vizuri tukibadilishana mawazo kuhusu hili, na tuone kama kweli tunafikiria kwa usahihi au kuna dosari katika kufikiria kwetu. Hii ni nukuu ya mzee Msekwa, kutoka gazeti la Mwananchi Tolep la Jumapili janiari 26 "Uteuzi wa mawaziri ni kazi ya Rais na katika hilo, hana ubia na mtu na...
  13. Bongolander

    CCM can reclaim her legitimacy, by going back to the roots, SI POROJO ZA MEDIA!

    Wakuu inaonekana sasa kuwa CCM kama chama, kimeanzisha na kuimarisha propaganda [kudanganya au ku-mislead watu], kutumia mamluki na baadhi ya waliohongwa na kupenyezwa kwenye vyombo vya habari, kuvitumia vyombo vilivyonunuliwa na waliokiteka chama, kufanya mabadiliko katika safu yake. Hapa JF...
  14. Bongolander

    VIPUSA kutoka Tanzania vyakamatwa Hong Kong

    Wakuu hapa mnaweza kujua ni jinsi gani bandari yetu iliyooza, angalia habari hii kutoka website ta CNN. Ukitaka uchoke zaidi jaribu kujua nani mhusika halafu angalia hatua gani zitachukuliwa katika uongozi wa Bandari. Hii ni mara nyingine inatokea na serikali inachekelea tu. Kwa mujibu wa...
  15. Bongolander

    Let us DIG DEEP on violence Mbagala, Zanzibar etc

    Wakuu inaweza kuwa ni rahisi sana kunyosheana vidole na kuumizana kutokana na hali inayoendelea sasa hapa Tanzania. Naona ni busara tukijadili THEORIES zinazoweza kutueleza ni kwanini hili limetokea, labda tunaweza kujua nini kinatakiwa kufanyika ili kukabiliana na hali hii, ambayo kwa sasa...
  16. Bongolander

    Kwanini watanzania tuliowengi ni WAJUAJI TUSIOJUA?

    Hebu tujaribu kujiuliza kidogo. NI kwanini watanzania wengi tukiulizwa tunasema tunajua lakini ukweli ni kwamba hatujui, au tunajua kiduchu tu? Ni kwanini watanzania ni hodari kusifu wengine lakini wenye wenye hatufanyi kitu cha maana? Jaribu kuuliza watu mji wa London na New York upi mzuri...
  17. Bongolander

    Tunachezea DEMOKRASIA?

    Wakuu naona ni kama sasa hivi tunaelekea upande wa kuchezea demokrasia hapa Tanzania. Mambo yanayoendelea yafanya nchi yetu ionekana kama kundi la Pwagu na Pwaguzi. Hivi ni kweli tunaendesha nchi kwa kutumia akili zetu? au tunaiga tu kwa kuwa Ulaya wanafanya hivi na vile, bila kujali mazingira...
  18. Bongolander

    What we learnt from Arumeru by election

    Wakuu naomba tuangalie issue hii kwa mapana, tusiangalie kwa mtizamo wa mvutano kati ya CCM na CDM, kwani tunaona kuwa nchi yetu imefika hatua ambayo naweza kusema tunaonekana kuchangamka kisiasa. Nakumbuka by election ya kwanza kabisa ilifanyika hapa Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 90 (may be...
  19. Bongolander

    WHAT is Going on in PINDA'S mind?

    Wakuu najua kuna thread zinaendelea kuhusu Mgomo wa madaktari, lakini hii habari niliyoiona kwenye IPP media "Pinda aagiza madaktari wakamatwe" imenitia wasiwasi na kuamua kuiweka post hii na kunifanya nijiulize kama kweli Waziri Mkuu Pinda, ndiye yule aliyekuwa Mizengo Kayanza Peter Pinda...
  20. Bongolander

    Mh Mnyika, ARE you serious? ni serikali ipi unaiongelea

    wana JF kuna wakati naona huwa tunatumia vibaya uhuru wa kuongea tulio nao. NI mejaribu kuosma hii excerpt kutoka kwenye gazeti la Guardian Online version la tarehe 23 Januari. Mh mbunge John Mnyika anajaribu kutoa maoni kuhusu hali ya uchumi, hebu soma kidogo...... "Serikali ilete mpango wa...
Back
Top Bottom