katika historia ya Israel haijawahi kutokea Israel ikawazidi waarabu ama maadui zake kwenye sector ya quantity: kitu cha msingi siku zote hua inaibuka victor. BaHati moja mbaya hilo swala la hezbollah unajua kabisa sio nchi per se ni kundi la kigaidi, like hamas, hawana cha kupoteza. ni kama Alshababu, Alqaeda, Boko haramu, sasa tuseme Usa ilipopigwa world trade cetre na osama ndio tuhitimish kua Osama aliishinda usa? hatuendi hivyo ISIS ambayo ni very mascular mbona haijapeleka pua kuishambulia israel.?
nguvu ya Iran pale middle east ni kufuga magaidi na kuwatumia kuwa threats kwa nchi mahasimu, ndio maana hata nchi za waarabu (Sunni states) zinamchukia iran.hata hivyo zinamchukia israel zaidi ya mwirani.
Hujajiuliza kwanini baada ya hilo shambulie hezbollah hawajathubutu tena kufanya kama vile??? waliadabishwa walipelekewa hasara like never before...
linapokuja swala la quality israel iko juu sana kuliko waarabu wote middle East.ndio maana inajeshi dogo lakini Imara. Falsafa ya jeshi la Irael ni kujilinda sio kupigana vita i.e. IDF(israel Defence Force). Israel ni nchi ndogo sana kwa saizi pale middle kwenye maaadui wengi yaani hakuna jirani wa kumwamini pale kilipo, but against all odds kina survive.
unataka Israel ishambulie huku unajua Anti-semitics walishaanza kuongezeka ulaya magharibi na sehemu mbalimbali wakijidahi kuwahurumia waarabu na kushambulia wayahudi. Israel inatekelezaonly calculated risks. nilimweleza huyo mwenzako hapo ajue kua Israel ilikua na capability japo haikushambulia. Sasa we unakuja na hoja kama vile vita ni mchezo wa mpira funga huku am funga kule. Vita ni Roho zinatoka.Nuff said.
Hivi vikundi vyote unavyo sema ni vya kigaidi vilihundwa kwa madhumini gani - je makundi hayo yalikuwepo miaka ya nyuma i.e kuanzia late 1960s kurudi nyuma? - jibu ni hapana - sasa ni kitu gani kilichochea unzishwaji wake? Yaani unasahau kwamba mambo ya ugaidi yalianzishwa na Wayahudi kwenye miaka ya 1940s kwa kuwachinja na kulipua mabom Waarabu in particular bila sababu ya msingi, ukatili huo bado wanaundeleza mpaka leo - Waarabiu wakiwagehuzia kibao Waisrael basi Baadhi ya Mataifa yanaitetea Israel eti inaonewa - actually Waisrael wapo radhi kuchochea vita vya Dunia vifumuke kwa ajili yao, wanatumia vyombo vyao vya habari vilivyo enea Dunia nzima na Mabenki yao kuchonganisha Mataifa yapigane a proxy war on their behalf!! Si hilo tu Waisrael bado wanaendelea kunyanganya aridhi ya Waarabu wanajenga makazi ya walowezi bila aibu - Mataifa makubwa wanajitia kusahau uonevu mkubwa wa Wayahudi kwa Waarabu.
Tukija masuala ya Anti-Semitics hayo hayajahanza leo yalikuwepo huko Ulaya, Merikani ya Kaskazini na Latin Amerika tatizo hilo lipo miaka nenda rudi hata kabla ya Hitler kuwavalia njuga, swali ni kwa nini wanachukiwa kiasi hicho, wana tatizo gani la msingi linalo watia doa.
Tujaribu kuwa wakweli hivi ni Nani alimjenga OSAMA kwa kumpatia mafunzo ya kutengeneza milipuko nk, unataka kusema hujui husiano uliopo kati ya Mossad, CIA na ISIS - mara ngapi helicopter za Merikani na fixed wing planes zinatumika ku-drop silaha kwa kundi la ISIS alafu Merikani, Israel na Uingereza wanajitia ku-shade machozi ya mamba kuhusu kundi hilo eti nila ki-terrorist wakati wakijua fika kwamba wao ndio wanawa finace na kuwapa silaha.
Vita ni vita tu haijalishi kama unao pigana nao ni a ragtag army au nini sijui. Capabilities za jeshi la Israel sio kama ilivyo kuwa zamani hivi sasa wajanja wamekwisha ng'amua jinsi ya ku-deal nalo kwa kusoma kwenye mitandao weakness za silaha ya Israel specifically vifaru na magari ya deraya, nyenzo na silaha zinazo tumiwa na Israel wakisha zijulia basi wana tumia akili za kawaida tu by resoting to hit and run tacticts, maanake at the end of the day siku hizi ndege za kivita (carpet bombing and what have U) na vifaru havina uwezo wa kukuhakikishia ushindi - Hezibolla walisha onyesha mfano. Nimekuwekea tena link ya jinsi Wanamgambo walivyo fanikiwa kuwashtua Wayahudi kwa kuangamiza silaha zao kirahisi.
Kwa habari zaidi Click link hapo chini.
https://www.youtube.com/watch?v=t3CuDbbr5tA
Nimalizie kwa kusema Kundi lililo anzisha Ugaidi Duniani ni la Waisrael wenyewe kwenye miaka 1940 wakiongozwa na makundi ya
Irgun, Stern na
Haganah terrorits, hapa nimekuwekea list ya vitendo vyao vya kusikitisha, kumbuka hapo wanatoa takwimu za mwaka mmoja tu, je miaka ya nyuma na iliyofuata baadae si idadi inatisha kabisa - hayo huwa hayasemwi, kazi kuwasema vibaya Waarabu .
1947: A Year of Terror in Palestine
Jan. 12-Four killed by Irgun terrorist bombing of British headquarters.
Jan. 13-Arab kidnapped and castrated by Jewish terrorists.
March 1-Sixteen Britons killed by Jewish terrorists/Britain invokes martial law
March 10-Jewish informer killed by Jewish terrorists.
March 11-Two British soldiers killed by Jewish terrorists.
April 8-British constable killed by Jewish terrorists.
April 8-Jewish boy killed by British troops.
April 8-Jew beaten to death by Arabs.
April 22-Eight killed in Jewish terrorist bombing of the Cairo-Haifa train.
April 25-Five killed in Jewish terrorist bombing of British camp.
April 26-British police official killed by Jewish terrorist.
May 8-Three Jewish shops in Tel Aviv whose owners refused to contribute to Jewish terrorist groups burned down by Jewish terrorists.
May 8-Jew killed near Tel Aviv by Arab terrorists.
May 12-Two British policemen killed in Jewish Jerusalem.
May 15-British policeman killed in terrorist ambush.
May 15-Two British soldiers killed in terrorist Stern Gang attack.
May 16-Two British police officers killed by terrorists.
May 18-One Jew killed, one wounded by Arab terrorists.
June 5-Jewish terrorists introduce letter bombs in Middle East.
June 28-Four British soldiers killed in Jewish terrorist raids.
July 3-"Anti-terrorist" Jewish families beaten up by Irgunists.
July 18-British soldier killed by Jewish terrorists.
July 19-Another British soldier killed by Jewish terrorists.
July 20-Yet another British soldier killed by Jewish terrorists.
July 23-65 Jews killed when Haganah sinks immigration ship.
July 26-Two British soldiers killed in booby trap.
July 29-Three Jews executed by hanging. Jewish terrorists retaliate by hanging two British soldiers.
Aug. 5-Three British police killed by bomb; plot discovered to poison the water supply of non-Jewish parts of Jerusalem with botulism and other bacteria.
Aug. 10-Four Jews killed in Arab terror attack on Tel Aviv café.
Aug. 12-Five Jews, four Arabs killed, others injured, in spread of violent incidents over three days.
Aug. 15-Twelve Palestinians killed in raid by Haganah troops.
Aug. 18-Shops of five Jews in Tel Aviv destroyed by Jewish terrorists.
Aug. 23-Five Arabs of one family-two men, a woman and two children-killed by Jewish terrorists.
Sept. 7-French foil Stern Gang plot to air bomb London.
Sept. 21-British messenger killed by Jewish terrorists.
Sept. 26-Four British policemen killed in Irgun terrorist bank robbery.
Sept. 27-Illegal Jewish immigrant killed by British.
Sept. 29-13 killed, 53 wounded in Irgun terrorist attack on British police station.
Oct. 4-Two Jews killed in ambush, two Arabs killed in retaliation.
Oct. 13-Two British troops killed by Jewish terrorists in Jerusalem.
Oct. 26-Jewish settlement policeman found killed near Gaza.
Nov. 3-Jewish policeman killed, reportedly by Stern Gang after refusing to reveal secret police matters.
Nov. 12-21 killed in British-Jewish clashes.
Nov. 14-Jewish terrorists kill 4 Britons in Jerusalem and Tel Aviv
Nov. 30-Violent riots erupt throughout Arab world following adoption of U.N. partition plan. In Palestine, seven Jews killed and eight wounded in the first day. All told, during the first week at least 159 persons were killed in the Middle East, 66 of them in Palestine.
Dec. 2-Palestinians begin 3-day protest strike; 20 Jews, 15 Arabs killed. Five Arabs and seven Jews were killed the next day during a six-hour battle on the Tel Aviv-Jaffa border.
Dec. 13-35 Palestinian civilians killed in Jewish terrorist attacks.
Dec. 14-14 Jews killed by Arab Legion in retaliation.
Dec. 18-Palmach ("assault companies") kills 10 Arabs, including 5 children, in nighttime raid on northern Galilee village of Khissas. The following day Haganah troops blew up the home of the village elder of Qazaza in central Palestine, killing several inhabitants. Wrote
The Times of London: "While the Jews are suffering mainly through sniping at their road convoys, the Arabs have lost many lives through Jewish assaults on their villages."
Dec. 20-Haganah raid on village of Qazaza kills one Palestinian.
Dec. 24-Stern Gang member killed for betrayal of another member.
Dec. 25-16 Arabs, Jews and British killed on Christmas.
Dec. 25-Palestinian landowner killed for selling land to Jews.
Dec. 26-Ben-Gurion proposes major offensive to reduce Arab population.
Dec. 26-Jewish terrorists get $107,000 in heists of diamond plants.
Dec. 29-14 Arabs killed by Irgun bomb in Jerusalem.
Dec. 29-Irgun flogs British major and three sergeants.
Dec. 30-41 Jews, 6 Arabs killed in riot sparked by Stern Gang.
Dec. 31-Irgun claims to have killed 374 Arabs and British during year.
-D.N.