Search results

  1. Webb

    Chumba Cha kupanga Zanzibar darajani

    Wakuu anaejua gharama za chumba Cha kawaida pale Darajani anijulishe. Na utaratibu wa kupanga ukoje kwa Zanzibar hasa kwa sisi wageni kutoka Bara.
  2. Webb

    Kazi ngumu sana lakini nasave laki kwa mwezi

    Wakuu naombeni ushauri, Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika. Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi. Baada ya kufanya matumizi yote ya...
  3. Webb

    Nafasi ya kazi ya ulinzi

    Wakuu anaitajika mlinzi mmoja wa kulinda eneo kubwa,garage apa dar. Malipo 150,000/= Kula na kulala ni apapa
  4. Webb

    Maduka ya vifaa vya ulinzi

    Wakuu naomba kufahamishwa maduka ya vifaa vya ulinzi app dar yanapatikana wapi. Nataka vifaa Kama Mapanga marefu ya kininja,nguo za kikomando na dhana mbali mbali. Bill kusahau zile tochi kubwa za kuchaji.
  5. Webb

    Hakika wewe sio binadamu

    Maku nasa,weji ndumku wewe... Yani zimwe wa Miku na limbi liha doba yamba,rabiasha ndi azi e.Ka unata tuwa je tuishi. Ni she ta wewe,Au kocho wewe
  6. Webb

    Rais Magufuli na karata ya machinga kuelekea 2020

    Wakuu huu mpango wa kuwathamini Machinga sio wa bahati mbaya.Hii ni karata kubwa kisiasa hasa kwa chama kilichochokwa na wananchi. Watu wanajiuliza WHY Machinga? (1) Population ya vijana wengi hasa mijini ni Machinga. (2)HII NDIO POINT KUU Watu wanasema Watanzania ni waoga,hasa katika mambo...
  7. Webb

    Application nzuri ya kublock calls and sms

    Wakuu naomba kujuzwa ni application gani nzuri ya kublock calls and texts. Nataka nisione kabisa calls wala texts.
  8. Webb

    Maradona: Mourinho ni kocha bora kuliko Gardiola

    Maradona; Nimesha sema sana Mourinho ni kocha bora sana kuliko Gardiola. -Mfumo wa tick tack(pasi nyingi)yeye sio mwanzilishi,ameiga kwa Johan. -Kwa sasa anabebwa na pesa za waarabu,anasajili mchezaji yeyote anayemtaka. My take Hayo ni maneno ya Maradona,so mjumbe hauwawi
  9. Webb

    Shikamoo Magufuri

    Aiseee... Kwa kweli sina la kusema,baba shikamoo. Yan dah!,Mzee heshima yako kiongozi. Narudia tena,Shikamoo baba kiongozi.... shikamoo sana. Yaniiiii.....duuuuuh
  10. Webb

    Tupeane mbinu za kuwalinda watoto wa kiume dhidi ya ushoga

    Wakuu,kutokana ni hili janga la ushoga kuzidi kushika kasi kila kona ya dunia je tutumie mbinu gani kulinda vijana wetu wa kiume. Kwa kweli hakuna jambo litakalo kuja kunisikitisha kama kusikia mwanangu wa kiume amejiingiza kwenye hili janga la USHOGA
  11. Webb

    Wakazi wa Kagera mnapenda sana starehe

    Hivi kwanini Tigo Fiesta huwa inafanyika Bukoba mjini na Muleba.Hii inapelekea Kagera kuwa mkoa pekee ambao hili tamasha ufanyika mara mbili ndani ya mkoa mmoja. Kulikoni wana Kagera mnapenda sana burudani kuliko mikoa mingine au nini kilichopo nyuma ya pazia?
  12. Webb

    Gharama ya chanjo ya Homa ya ini

    Wakuu nimekua nikifuatilia mijadala mbali mbali inayohusu huu ugonjwa,nakugundua kuwa ni ugonjwa hatari sana. Naombeni msaada wakujua gharama za chanjo ya huu ugonjwa hapa nchini kwetu.
  13. Webb

    Anaetumia Samsung s7 edge clone

    Wakuu kwa ambae anatumia s7 edge hizi zianazouzwa laki 7 mpaka 8 ebu anipe uzoefu wake. Nataka kununua hii simu sasa sijui mapungufu yake,kinga ni bora kuliko tiba.
  14. Webb

    App nzuri ya kurudusha simu iliyopotea

    Wakuu naombeni msaada kidogo wakujua app nzuri ya kulinda simu. Simu yangu inanipa presha sana,wezi wameikosa kosa kama mara 3. App nyingi hazifanyi kazi vizuri,nyingi mpaka uroot simu.Kwa upande wangu naogopa kuroot hii simu.
  15. Webb

    Staili mpya ya ukabaji Dar es Salaam

    Wakuu,kuna staili mpya ya wizi apa dar nimehishuhudia sehemu tofauti tofauti hasa mida ya usiku. Wizi huu mara nyingi hufanyika vituo vya mabasi,wanakua wezi wa 4.Mmoja anakuanzishia ugomvi ghafla,wale wengine wanajifanya kuamulia huku ukivutwa gizani. Wanahakikisha wanaendelea kukuvutia mbali...
  16. Webb

    Edo kumwembe: Hivi ile fashion ya vijana wa Dar kwenda kulima vitunguu Ruaha imeishia wapi?

    Wakuu,anaandika Edo kumwembe Hivi ile fashion ya vijana wa dar kwenda kulima vitunguu Ruaha imeishia wapi.... Acheni kuchezea kazi za watu.... Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Webb

    Tahadhari kwa wale wanaotafuta vyumba vya kupanga

    Wakuu kuna habari nilikua nazisikia muda mrefu kuhusu baadhi ya wenye nyumba kuwafanyia vibweka wapangaji,hasa apa dar. Leo katika pita pita zangu maeneo ya TABATA ndio nimekutana na hili swala,kuwa kuna wenye nyumba wanamtindo wa kuwafanyia vibweka vya nguvu za giza wapangaji wao hili wakimbie...
  18. Webb

    Ali kiba amuondoa Rich Mavoko WCB

    Kumekua na tetesi nyingi sana toka msanii Rich Mavoko ajiondoe WCB. Wengi wamemsakama Diamond kwamba alikua anamnyonya sana Mavoko,na wengine wakimuona Mavoko kakengeuka bila kusahau tetesi za wivu wa mapenzi. UKWELI NI HUU Kipindi Diamond ameanza kupata umaarufu mkubwa ndani na nje ya...
  19. Webb

    Utofauti wa bei za simu za Samsung unatokana na nini

    Wakuu,naombeni kufahamishwa kwanini hizi Samsung zinatofautiana sana bei. Nimetembelea pages za Instagram na baadhi ya maduka kariakoo kuulizia bei ya Samsung s7 edge na kukuta bei inarange 750,000/= -850,000/=. Lakini nimetembelea maduka ya Samsung apa dar,na kuambiwa Samsung s7 edge inauzwa...
  20. Webb

    Mwarabu fighter kafungua kampuni yake ya ulinzi

    Ni hatua kubwa sana kwake,mara baada ya tetesi nyingi za kufukuzwa WCB. Bora kaamua kujiajiri,na umaarufu wake utamsaidia kujitangaza sana. Hongera bro.
Back
Top Bottom