Staili mpya ya ukabaji Dar es Salaam

Staili mpya ya ukabaji Dar es Salaam

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
884
Wakuu,kuna staili mpya ya wizi apa dar nimehishuhudia sehemu tofauti tofauti hasa mida ya usiku.

Wizi huu mara nyingi hufanyika vituo vya mabasi,wanakua wezi wa 4.Mmoja anakuanzishia ugomvi ghafla,wale wengine wanajifanya kuamulia huku ukivutwa gizani.
Wanahakikisha wanaendelea kukuvutia mbali mpaka wabaki wao kwa wao ndio apo wanakubadilikia na kukukaba.

Tahadhari ukiona mtu kakuanzishia ugomvi ghafla piga kelele ya mwizi kabla haujapelekwa chemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa dar bana , afu hapo akitokea hata mbwa kichaa wote wanalala saa 11 jioni[emoji23]
By the way siamini kama mtu wa mkoani utue zako ubungo ukabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa dar mnavituko sana
Inawezekana vipi mtu akuanzishie ugomvi bila sababu?
 
Huko utoto sasa. Mtu akikuanzishia ugomvi bila sababu achana nae. Ukimwita mwizi ukiulizwa kaiba nini utasemaje?
 
Wakuu,kuna staili mpya ya wizi apa dar nimehishuhudia sehemu tofauti tofauti hasa mida ya usiku.

Wizi huu mara nyingi hufanyika vituo vya mabasi,wanakua wezi wa 4.Mmoja anakuanzishia ugomvi ghafla,wale wengine wanajifanya kuamulia huku ukivutwa gizani.
Wanahakikisha wanaendelea kukuvutia mbali mpaka wabaki wao kwa wao ndio apo wanakubadilikia na kukukaba.

Tahadhari ukiona mtu kakuanzishia ugomvi ghafla piga kelele ya mwizi kabla haujapelekwa chemba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kelele za nini mkuu??
Hazisaidii hizo kukuokoa.

Tafuta manati ya kijerumani halafu ning'iniza kiunoni
 
ni basi tu tunaogopa kuua na kupata kesi, la sivyo mtu akikuanzishia ugomvi unahakikisha ndani ya sekunde chache umem- "neutralize" kwa pigo moja la nguvu kama vile ngumi nzito na ya haraka ya koo au teke kali kwenye korodani kisha unaondoka zako ndani ya sekunde chache!
 
Mbona ya kitambo sana hiyo mkuu, siku hizi hakuna wizi wa namna hiyo tena.
 
Wanaume wa dar bana , afu hapo akitokea hata mbwa kichaa wote wanalala saa 11 jioni[emoji23]
By the way siamini kama mtu wa mkoani utue zako ubungo ukabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaa mkuu nyie ndio mnavyoibiwa hivyo,na msipo ibiwa kwa staili hiyo basi mtauziwa kipande cha sabuni cha mia mbili kwa laki mbili shubaaaaaaamit
 
ni basi tu tunaogopa kuua na kupata kesi, la sivyo mtu akikuanzishia ugomvi unahakikisha ndani ya sekunde chache umem- "neutralize" kwa pigo moja la nguvu kama vile ngumi nzito na ya haraka ya koo au teke kali kwenye korodani kisha unaondoka zako ndani ya sekunde chache!
Mambo kama hayo wanayaweza wachina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom