Huwa zimetumika nje na kufanyiwa ukarabati na kuuzwa 3rd world countries like TZ lakini ni OG. Check condition yake kama inakufaa na pia omba 6 months WarrantyOriginal inauzwa 1,600,000/=
Hizi za laki 7 sizielewi elewi
Original inauzwa 1,600,000/=
Hizi za laki 7 sizielewi elewi
Hyo bei unataka clone?Wakuu kwa ambae anatumia s7 edge hizi zianazouzwa laki 7 mpaka 8 ebu anipe uzoefu wake.
Nataka kununua hii simu sasa sijui mapungufu yake,kinga ni bora kuliko tiba.
Inaonekana hujui nini clone,original na refubrished phone unachanganya hivi vitu clone huwezi ukanunua kwa hiyo bei na si kila simu utakayonunua bei kubwa basi ndo original kuwa makini pia utapigwa na wajanja.Wakuu kwa ambae anatumia s7 edge hizi zianazouzwa laki 7 mpaka 8 ebu anipe uzoefu wake.
Nataka kununua hii simu sasa sijui mapungufu yake,kinga ni bora kuliko tiba.
Kama pilato alivyokujibu mkuu hizo ni refurbished.Wakuu kwa ambae anatumia s7 edge hizi zianazouzwa laki 7 mpaka 8 ebu anipe uzoefu wake.
Nataka kununua hii simu sasa sijui mapungufu yake,kinga ni bora kuliko tiba.
Ubarikiwe mkuuKama pilato alivyokujibu mkuu hizo ni refurbished.
Omba warranty kidogo, kwenye simu yako fungua account ya samsung kisha jaribu exclusive feature ya samsung kama vile secure folder, utaenda store ya samsung kisha search kisha download.
Jaribu kuitumia na kuficha apps na mambo mbalimbali.
Pia unaweza ukatumia cpu z na kucompare specs zake na specs halisi.
Pia jihadhari na hivi vitu, hakikisha unaitest kwanza.
https://www.jamiiforums.com/thread...mitandao-ya-kikorea-china-na-marekani.1147189
HelpfullyKama pilato alivyokujibu mkuu hizo ni refurbished.