Webb JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 425 Reaction score 884 Sep 24, 2018 #1 Wakuu naombeni msaada kidogo wakujua app nzuri ya kulinda simu. Simu yangu inanipa presha sana,wezi wameikosa kosa kama mara 3. App nyingi hazifanyi kazi vizuri,nyingi mpaka uroot simu.Kwa upande wangu naogopa kuroot hii simu.
Wakuu naombeni msaada kidogo wakujua app nzuri ya kulinda simu. Simu yangu inanipa presha sana,wezi wameikosa kosa kama mara 3. App nyingi hazifanyi kazi vizuri,nyingi mpaka uroot simu.Kwa upande wangu naogopa kuroot hii simu.
Paa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 1,462 Reaction score 2,940 Sep 24, 2018 #2 Kama ni anroid ikiibwa na wajanja wa town itakua vigumu sana kuipata, sometime huwezi ipata kabisa. Chamsingi ni kuwa makini na simu yako unapoitumia na unapoiweka
Kama ni anroid ikiibwa na wajanja wa town itakua vigumu sana kuipata, sometime huwezi ipata kabisa. Chamsingi ni kuwa makini na simu yako unapoitumia na unapoiweka