Uchaguzi mkuu 2010 Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa akitetea Kiti cha URAIS kwa kipindi cha pili alifikisha kura 5,276,827.Who know tena baada ya kuijongeza
Kufungiwa miaka miwili ni adhabu nzuri na inatosha kwa huyo Nyoso.
Ni sana na kufungiwa maisha.
atakaporudi, two years down the line, kiwango kimeshuka kama sio kuisha.
hakuna timu itakayomhitaji.
Keshajimaliza.
Wengine wajifunze, mpira ni ajira.
Tume ya uchaguzi ni zaidi ya Lubuva.
kuna maafisa, na makamishna ambao nod watendaji.
na wiki chache zlizopita JK aliongeza watu wengine humo.
tanzania ni kubwa. Vituo vya wapiga kura vitakuwa vingi sana. lolote laweza token nje ha macho ya Lubuva (assuming yuko pro uchaguzi huru na haki).
Sijawahi mkubali Lowassa, na sitamkubali kamwe.
ni mgonjwa kweli.
Saana tu.
lakini Kama ni Lazima kwa kupitia yeye Tanzania inakombolewa kutoka minyororo ya CCM na Iwe Hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.