Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,912
Baada ya Chadema kususia uchaguzi mdogo kwa majimbo kadhaa ikiwamo longido na songea , kwa sababu zisizokuwa na mantiki yoyote ile Ghafla tu wameamua kushiriki Chaguzi za Siha na Kinondoni.
Lengo halisi la kushiriki majimbo haya mawili hasa hili la kinondoni ni kuvuruga Chaguzi wakiwa na nia ya kuchafua image ya nchi kimataifa.
Nasema hivyo kwakua Sababu wanazodai kuwazuia kushiriki chaguzi za awali hazikua na ukweli wowote na hili limedhibitishwa na wao wenyewe kwa kushiriki Chaguzi za sasa.
Vile vile kwa kumteua Mgombea ambaye ni very unpopular ni ishara ya kumtoa sadaka Mgombea mwenyewe na kumtumia tu kama chambo ya kuwaweza kushiriki Katika uchaguzi na kuuvuruga.
Salum, hafahamiki, hana ushawishi wala hawezi shinda uchaguzi wa jimbo la kinondoni.
kwakua Salum hana yote hayo, unauliza sababu za Chadema kumtumia Katika uchaguzi huu na kubaki na moja tu, ya kufanya vurugu.
Ni Rai yangu tu kwa vyombo vya usalama kuwa makini sana wanapodeal na wafuasi wa Chadema Katika Chaguzi hii kwani Nina hakika hawaji kushiriki kwa lengo la kushiriki, Bali kuna nia ovu nyuma yake.