Haya ni maneno ya Sheikh Thabit Kombo ni busara kuyasikiza!!Maana yake uchaguzi ni kama vita. Uchaguzi ni vita. Katika vita hutoka bahati watu wanakwenda vitani wengine huko katika vita hurudi wakawa ma- sajini, wakawa ma- Kapteni ili hali walikwenda kupigana, na risasi zimewakosa hupata bahati wakarudi na vyeo. Na wengine bahati mbaya huenda ikawa bahati mbaya wasirudi kabisa
.
....mafuriko dawa yàke mfereji tu...
Mmmh Lizy!! Mbona hausomeki!? So manvi ni kila Kitu chamani!?Kweli kabisa mkuu
nawahurumia sana ocampo four , pasco na kibonde .
Political dynamics za CCM zimechange for the better, wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ndio determinant, nani anakuwa rais wa nchi hii!, baada ya CCM kututeulia jembe kazi la Kanda ya Ziwa, damu ni nzito kuliko maji, hivyo nimeisha shauri 'jamaa yangu' akubali matokeo, avunje kambi na kujisalimisha rasmi.
Pasco
Serukamba sasa itabidi atafute kazi mbadala maana ile aliyoahidiwa imeota mabawa..
nenda Wikipedia