Hongera Lowassa, Hongera UKAWA

Clearly you are very stupid.
Nenda sasa pale Tume ukafanye fujo, Lowassa alishindwa kuingia pale, kamsaidie.

Mmh?! Elimu elimu kijana ww upo kama boom soma, elewa, changanua kisha raise your argument over that statement, don't be silly u can do better than u being stupid.
 
Mmh?! Elimu elimu kijana ww upo kama boom soma, elewa, changanua kisha raise your argument over that statement, don't be silly u can do better than u being stupid.
Tunaelewa una machungu ya kupigwa, vumilia na Lowassa wenu 2025 si mbali sana.
 
Nawaza kama tusingeibiwa kura milion kumi yetu magu na waliobaki wangegawana hizo tano mweee hongera UKAWA hongera ENL
 
Sasa mbona juzi kule bungeni wana ukawa hawakuwakilisha suala kuibiwa kura za lowasa? Au hakuibiwa bali ni usanii wake tu? Kwa suala la seif lisu alikua msemaji wa ukawa lakini zijaona anatolea macho wizi wa kura za lowssa? Mimi nadhami lowasa anajua hakuibiwa kura lakini atawaambia nini waliotoa chopa?
 
Sentensi zako za mwisho zinakutia aiubu, za mwanzo ninawasiswasi kama kijijini kwenu mmeshawahi kuisikia katiba kandamizi ya TZ
 
Slaa 2010 alipata kura 2,271, 941. Roughly in Kama Lowassa anakubalika mara Tatu zaidi ya Slaa.

Hivi ukawa ni muungano wa vyama gn vile. Mwaka 2010 chadema walipata ngp vile. Cuf nao ngp. Nccr ngp. Hebu tuleteeni majumuisho tujue mwaka huu mmeongeza ngp maana 2010 kulikuwa hakuna ukawa
 
Back
Top Bottom