Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Uchumi wa tanzania uko very artificial na umejaa usanii mwingi sana, ndio maana wawekezaji kutoka nje wakiuangalia wanaona ni potential area kwa kuwekeza lakini wakishawekeza wanagundua kuwa ni impossible for business na hasa biashara halali.
Hebu angalia makampuni kama Shoprite walidhani mji wenye wakazi zaidi ya 6,000,000 una potential kubwa kuwekeza lakini wameishia kufunga maduka yao. Angalia makampuni makini kama BP, Chevron wameishia kufunga biashara zao na kuondoka maana competitors wao wanachakachua mafuta na hakuna anayewagusa!
Sasa na hii hospitali ilivyooona watu wanatumia 10m kwa ajili ya mboga tu wakajua wakiwekeza hi-tech medical facilities watapata pesa lakini wale wale waliowashawishi wanaishia APPOLO!
Well said.