Search results

  1. godzilah

    Namna Watanzania wanavyotapeliwa na Waganga wa Kienyeji nchini Kongo

    Chief utakuwa sio mwenyeji kanda hiyo. Tunduma ndo njia panda ya Sumbawanga na Zambia kama unatokea Mbeya tena barabara mkeka umenyoka sijawahi kuona Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  2. godzilah

    Mwanza: Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Thaqaafa waandamana kudai matokeo ya watoto wao

    Shule yangu Nilikuwa hapa 2010-2012 wakati huo ilikuwa ni moja ya shule bora sana kwa mwanza. Imekutwa na nini tena. Wanafunzi waliandaliwa vizuri sana wakati huo. Mpaka ukanyage kidato cha nne ulipaswa kuwa umeivaa vizuri
  3. godzilah

    Maisha yangu ya upangaji na wake za watu na niliyowahi kuyashuhudia

    Tupo tu kunakucheki tunasema hiiii bhagosha. Unamanisha Bunda bado hatuna uelewa wa jf Balili, nyamakokoto, kabarimu, chilinge, nyasura, mpaka migungani tunapajua We jianike tu
  4. godzilah

    Issue ya Feitoto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi

    Ni kweli lakini maisha ndo yanataka hivyo hata kama ungekuwa wewe lazima uangalie kesho yako. Nature ya binadamu yoyote ni ubinafsi so hata kwenye hili swala la Fei ni kuwa kila upande umekuwa na ubinafsi kwani Fei amejiangalia yeye na familia yake na sisi wananchi tunajiangalia sisi wenyewe...
  5. godzilah

    Issue ya Feitoto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi

    Issue ya Fei toto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi. Jpili mchana niko nyumbani taarifa ya ajira mpya ikatoka, nikaingia mtandaoni kucheck. Katika majina jina langu pia lilikuwemo kwa haraka haraka nilishindwa kujua kama nifurahi au nisikitike. Why?? Kwa kipindi hicho nilikuwa muajiriwa wa...
  6. godzilah

    Wanawake wazuri wamenipa Genital Warts na Gono

    Warts kwa dawa za kumeza ni kipengele nenda hospitali watatumia caustic pencil kuzichoma itasaidia but dawa ya kumeza au kupaka sahau kupona
  7. godzilah

    Kwanini wanawake hamna huruma?

    Hii ni changamoto hasa kwa familia ambayo bado inajipanga kimaisha, Unakuta asilimia kubwa ya kipato inaishia kwenye mahitaji ya nyumbani. Mama wa watoto wangu huwa namwambia kwa uharibifu huu isingekuwa watoto kuna wakati nigegoma kutoa matumizi kabisa.
  8. godzilah

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Mkuu ifike wakati tuache kushauri vitu ambavyo sio field yetu. Kwa ulichoandika hapa nina uhakika 100% hauko kwenye field ya medical. Clotrimazole and whitefield zote ni antifungal Hydrocortisone ni antihistamine and anti inflammatory Ni kwa vipi hizo dawa ziko associated na dalili ya ugonjwa...
  9. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Sina uhakika kama itaonekana vizuri maana nime screenshot
  10. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Najaribu kutafuta namna nyingine ya kukutumia maana ukitumia option ya kua attach ndo inakuwa hivyo
  11. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Hizo sio exactly hesabu za ujenzi Nimejaribu kuonesha baadhi ya hesabu nilizoweza kuandika ila sio zote Fundi alikuwa analipwa kwa awamu Hiyo laki 4 ni moja ya malipo aliyolipwa fundi
  12. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    View ya mbele iko namna hii
  13. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Boss hapo navuta nguvu niweke wiring ndo nifunge bod na vigae also aluminium za madirisha. Unaweza ona kazi bado boss wangu
  14. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Simba dumu Ilikuwa 28k per piece
  15. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Around 30m. Maana tofali 3m, bati 3m, mbao za kupaulia na blundering ni 3m Bado cement na fundi nadhani hapo ndo kuna gharama pia nondo milango na madirisha
  16. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Siwezi kusema exactly imetumika Tsh ngapi ila ni around 30m. Kuna wakati nilikuwa siandiki kila kitu.
  17. godzilah

    Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Haikuwa kazi rahisi, Nilianza January Ni nyumba ya vyumba 3, dinning, sitting,public toilet na store Ishaaalah August 2022 nitafunga mahesabu
  18. godzilah

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Shukurani chief
Back
Top Bottom