Nimepigwa faini sh 50,000/- hapa barrier ya usagara kwa kukojoa hovyo. Hii ni sawa au sio sawa?

Saa 7 na nusu usiku unakamatwa kwa kosa la kukojoa 😂😂 wewe jamaa sio mzima kiafya
 
Ni sawa sababu ni uzembe.
Pesa hiyo ungelipa chumba guest 10,000, mbususu za kununua ungelipia 15,000 msosi na vinywaji 25,000.

Yani hapo ungekojoa mkojo wa haja na wa starehe. Siku nyingine jipange.
 
Hii ni hoja ya msingi, jamaa angeweza kuitumia kukataa kulipa hiyo faini; ila hawezi kuitumia sasa wakati ameshalipa.

Mtoa mada, hujaonewa, kwa kuwa unakiri kuwa umekojoa mahali pasipo sahihi - malipo hayo ya faini ni halali kisheria
Mkuu Huyo jamaa atakuwa dereva, tingo au abiria toka bush, hapo usagara pana mzani wa magari , Sasa huenda walisimama ili kupima uzito gari ndo akakojoa, tambua kwenye mizani huwa hakuna kulala, Basi ungeshauri pia wasikubali gari lao kupimwa uzito maana Ni usiku
 
Naandika kwa masikitiko makubwa Sana hii inenitokea Jana usiku hapa usagara je ni sawa?? Na Kama sio sawa je nianzie wap kudai haki yangu...ushaidi huu hapaView attachment 2317587

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako wewe KILALO TUBETU aka Heci unajiona sawa na mbwa unakojoa hovyo na popote. Hiyo wangeifanya mara 10 angalau ili akili ifinguke uyajue matundu ya choo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom