Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

Kwa picha
Sina uhakika kama itaonekana vizuri maana nime screenshot
Screenshot_20220108-120146_Drive.jpg
 
Hahaaaaaa, jamani. Inabidi uwe unamla denda wife asipige kelele. Pia watoto wakifikisha miaka 10 waende kukaa kwa bibi wasomee huko.
ah watoto wakake kwa bibi tena ya nini hayo kuwapa majukumu wazee wakati starehe mwala nyie vijana. kinachohitajika ni mpangilio mzuri tuu wa masterbedroom kwenye ramani ya nyumba. masterbedroom iwe imejificha hukooooo
 
Kujenga ni technique..nilipigwa nyumba ya kwanza lakini sasa nimejifunza, kifupi jiweke kidalali sio kiboss..
1. Msingi nawauzia vibarua, tunakubaliana, alafu fundi anasimamia
2. Tofali namuuzia fundi sh 300 japo za juu wengine wanadai nyongeza kidogo
3. Kokoto, nanunua kifusi cha kokoto alafu nachambua..hapo napata kifusi na kokoto
4. Tofali nanunua 950
5. Nondo naenda scrap yard napima zilizopo alafu zile pande ndefu nanunua..
6. Grill nachukua nondo hapo hapo scrap yard nanunua bomba za pembeni tu
7. Mbao za kuezekea nachukua buguruni, ukitaka kuwaweza madalali..nenda na mwanao tu alafu mfanye yy ndio boss, waite pemben waambie nimemleta boss, watakupa bei halisi
8.Bati mara nyingi hazina shortcut
9. Tiles kama unahitaji box chache..mafundi wanazo tena konk sana
10. Wire, mafundi wanazo nzuri tu sema earth rod kanunue copper inakuwa na bei kidogo kwenye 45k kwenda juu..chini ya hapo kafukue chuma hicho
11.Nenda mwenyewe dukani
NB: Nyumba inahitaji usimamizi wako, sio ndugu au rafiki, utalaumu watu bure
Kuwa mkali sana kwenye mali zako, simamia kila eneo..

Mie nimepata fundi Tofali za chini 200 za juu 300

Sikujua kumbe mpaka mchanga na kokoto Una madalali!!

Halafu usikubali kuletewa mchanga/kokoto usiku

Wale Jamaa wa magari wana sehemu wanapita wanapunguzia
 
ah watoto wakake kwa bibi tena ya nini hayo kuwapa majukumu wazee wakati starehe mwala nyie vijana. kinachohitajika ni mpangilio mzuri tuu wa masterbedroom kwenye ramani ya nyumba. masterbedroom iwe imejificha hukooooo
Ukiwa na pesa master bedroom inakaa mbali kabisaaa. Sasa uchumi wa kuungaunga ni shida
 
Unaweza kumaliza kujenga Nyumba kwa gharama kubwa labda kwa million 45.. Ila Nyumba hiyo hiyo ungesimamia vizuri, ungetumia labda Million 35...!! Mafundi wanatupiga saana hasa kwa mtu ambaye yuko bize na site weekend hadi weekend unapewa ripot tu kwa njia ya simu,, mafundi si watu wazuri,,!!

Kwa mfano anakupigia hesabu msingi utatumia cement mifuko 25, kumbe lbda msingi wako utatumia mifuko 15..!! Hiyo kumi ya juu anauza au lbda anapeleka kwake kwa ajili ya ujenzi wake..!!

Nipo kwenye field ya paints(finishing)

Aisee maboss wanaibiwa mpaka kuna muda unatamani kumshtua Ila ndo ugali wa mtu
 
Ukiwa na pesa master bedroom inakaa mbali kabisaaa. Sasa uchumi wa kuungaunga ni shida

Kwangu master bedroom haihusiani na room za watoto

Huko nimeweka na private room ndogo hivi itafaa Kama library au sehemu ya kutulia mwenyewe.

Nadhani haina uhusiano na uchumi
Manake gharama ni Ile Ile kikubwa ni majadiliano na mchora ramani/fundi
 
Ukiwa na pesa master bedroom inakaa mbali kabisaaa. Sasa uchumi wa kuungaunga ni shida
yaani ni majanga sana sasa bora ata huo uchumi unakuruhusu kuwa na masterbedroom...wale wanaopanga chumba kimoja na watoto humo humo inakuwaje wakati wa kugegeda mbususu
 
Kwangu master bedroom haihusiani na room za watoto

Huko nimeweka na private room ndogo hivi itafaa Kama library au sehemu ya kutulia mwenyewe.

Nadhani haina uhusiano na uchumi
Manake gharama ni Ile Ile kikubwa ni majadiliano na mchora ramani/fundi
Na prayer room umeweka. Ila mkuu uchumi unaplay part maana umeongeza Kuta/tofari/cement/mchanga/nyaya n.k
 
Ah wee bwana mambo ya kuishia katikati mie sitaki nataka kwanza nikiingia breki ya kwanza nipo kwenye bati.

Dah ila m3 mzeya nyingi hapo nilishapiga threesome kama kumi hivi. Mhm wacha tuu hicho kiwanja kikaage wazi.
Ila we jamaa akili zako 😂😂😂
pambafff sana
 
Back
Top Bottom