godzilah
Member
- Aug 3, 2016
- 34
- 165
Issue ya Fei toto inanikumbusha nilivyoamua kuacha kazi.
Jpili mchana niko nyumbani taarifa ya ajira mpya ikatoka, nikaingia mtandaoni kucheck.
Katika majina jina langu pia lilikuwemo kwa haraka haraka nilishindwa kujua kama nifurahi au nisikitike.
Why??
Kwa kipindi hicho nilikuwa muajiriwa wa Company moja kubwa ya kihindi na inalipa vizuri hakuna longolongo lakini pia kulikuwa na changamoto kiasi chake.
Kwahiyo baada ya kupata taarifa hii ya ajira serikalini nilipata mchanganyiko wa hisia ikiwa niache kazi private niende serikalini au niendelee kupiga kazi private.
Simu ni nyingi kila mtu anaongea lake wengine wanashauri nenda serikalini security ya kazi ni kubwa, wengine baki upige kazi hapa kuna hela ukilinganisha na serikalini.
Jtatu nilifika kazini story zilikuwa nyingi lakini mimi nilijipa utulivu maana ni kama tayari nishafanya maamuzi yangu binafsi so niliwasikiliza tu basi.
Uamuzi niliuchukua ni kwenda serikalini kwa sababu hivi;
-Nilipiga kazi sana lakini kuna wakati niliona kabisa sipewi thamani yangu sababu ni kama wanaona sina option nyingine .
- Sikuona nafasi ya kukua kitaaluma maana ile kazi ilikuwa 24 7 days inakuhitaji kila wakati na ukionekana unapiga mishe zingine ni kama unahujumu company.
Lastly pia sehemu yangu mpya ya kazi ilinishawishi maana tasisi ilikuwa mpya so niliona itanipa nafasi ya kujijenga zaidi, Also ni mkoa ambao naujua vizuri so sio ngumu kuzoea ukilinganisha na kule private ambako ni pembezone mwa nchi and was not my favourite Region.
Pamoja na sababu zingine nyingi niliamua kuondoka japo kwa masikitiko makubwa sana kwani nishakuwa pale for 3yrs Nina marafiki na mipango mingi kama unavyojua kazi as serikali unaomba bila kuwa na uhakika wa kupata so ukipata inakuwa kama ghafla sana.
Swala na Fei Toto na Yanga nimenikumbusha issue yangu na Boss wangu. Fei amekuwepo yanga for years lakini ni kama yanga walimchukulia poa au walimuona mtoto wa nyumbani hawezi kuondoka but sisi ni binadamu always kufanya evaluation ya maisha yako 10yrs to come ni muhimu. Saivi Fei alikuwa anaimbwa sana but 10yrs to come hatakuwa Fei huyu huyu so ni wakati sahihi wa yeye kuamua hatma ya maisha yake.
Binafsi mimi ni mwananchi lia lia but kwa hili Fei acha aende kama huko ndo kuna kesho yake iliyo bora. But ni vizuri pande zote 3 I mean Fei, Yanga na Azam wakae wamalizane kwa busara na hekima maana kuna leo na kesho.
All da best Fei Toto wananchi tutakukumbuka daima ulikuwepo kila ulipohitajika ku rescue situation.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

- Job security- Kazi ya serikali haiishi kirahisi tofauti na private
- Wakati nafanya nao kazi ni kama walinichukulia poa maana mara kibao niliomba nipewe mkataba wa kudumu lakini walikuwa wakinizungusha tu bad enough boss aliposikia nimepata kazi akaniita ofisini akaniambia nisiondoke wanipe mkataba so nikaona kumbe hili swala lilikuwa linawezekana Ila tu hawakuona umuhimu.