Wanawake wazuri wamenipa Genital Warts na Gono

Habari wakuu,

Yamenikuta mwanaume mwenzenu, katika harakati za kuchepuka nikipiga mahesabu ndani ya miezi hii mitatu nimetoka na wanawake zaidi ya 20. Matokeo niliyoyapata ndio yamenifanya nibaki njia kuu.

Nimepata ugonjwa wa Genital Warts, ni kama vinyama nyama vinatokea kwenye uume, niko naendelea kutumia dawa.

Juzi nilikuwa mkoa wa Kanda ya Juu, nikajifanya malaya wa kutembea na wadada wa buku 10 ovyo, sijaamini nimekitana na gono siyo la nchi hii. Hapa nilipo natumia AZUMA imeisha, nimeamua kuchoma Ceftriaxone.

Wakuu tubaki njia kuu.
Warts kwa dawa za kumeza ni kipengele nenda hospitali watatumia caustic pencil kuzichoma itasaidia but dawa ya kumeza au kupaka sahau kupona
 
Humu jf huwa kuna ufala flan wa kujazana ujinga ujinga kuhusu kuzini zini bila mpango,ila yakikukuta unaugulia peke yako sasa niwaambie tu wanangu AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
 
Humu jf huwa kuna ufala flan wa kujazana ujinga ujinga kuhusu kuzini zini bila mpango,ila yakikukuta unaugulia peke yako sasa niwaambie tu wanangu AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
Wengi wanaojifanya wachakataji ni member wa chaputa tu wanakuja ku fantasize huku
 
Humu jf huwa kuna ufala flan wa kujazana ujinga ujinga kuhusu kuzini zini bila mpango,ila yakikukuta unaugulia peke yako sasa niwaambie tu wanangu AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
Na wengine Wana magonjwa makubwa makubwa wanataka wajinga waingie mkenge kama wao
 
Tanesco kamcheki.
Tayari
IMG_20221208_020403.jpg
 
We sema umekutana na balaa lako huko sio etii tubaki njia kuu..!? Ubaki wewe na nani..!!!!?

Hakuna kurudisha majeshi nyuma, lazima tueneze upendo kwa watoto wazuri....
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom