sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,025
- 5,257
Hii ni hoja ya msingi, jamaa angeweza kuitumia kukataa kulipa hiyo faini; ila hawezi kuitumia sasa wakati ameshalipa.Mbona risiti inasoma 8.8.22 au ulikojoa night sana? Na je kama ilikuwa zaidi ya saa6 usiku kuna ofisi inafanyakazi mida hiyo?
Mtoa mada, hujaonewa, kwa kuwa unakiri kuwa umekojoa mahali pasipo sahihi - malipo hayo ya faini ni halali kisheria