Search results

  1. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Hapana Muungano ule ulikuwa ni kuziunganisha nchi mbili kwa kushirikiana baadhi ya mambo ila sijaelewa kwann Wazanzibari wanapewa uongozi huku kwetu Tanganyika lakini hakuna Mtanganyika anayepewa uongozi wa juu kule Zanzibar
  2. M

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Daah huyo Mwl Mpande wa Moshi tech alikuwa ni mbabe wa kupitiliza alikuwa anaonea sana wanafunzi saa 11 asubuhi alikuwa anakuja bwenini kuwaamsha wanafunzi kwa bakora
  3. M

    Ujasiri wa Kocha Juma Mgunda Kuongea Kingereza unawazidi hata wasomi wakubwa nchini

    Well said Jamaa yupo vizuri ni Pep Guardiola mwenye kitambi aiseee
  4. M

    Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Habari wanajamii wenzangu Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya. Baada ya...
  5. M

    Hoteli za Tanga mjini

    Mbususu za sabasaba zikoje kaka wanafinyia kwa ndani au wanatoa mtandao pendwa
  6. M

    Nikiamua kuacha kazi, mfuko wa PSPF watanipa stahiki yangu?

    Naomba ufafanuzi hiyo namba 2 ina maana ukishafikisha zaidi ya miaka 15 kazini je ukiacha kazi unaweza kulipwa kiinua mgongo na pensheni au
  7. M

    Wanawake hawana kitu kingine cha kuwapa wanaume tofauti na ngono

    Aisee unafaidi sana duuh unapewa hadi kisamvu cha kopo na unamiminia mbegu mdomoni duuh
  8. M

    Azam FC yaachana na Kocha Mkuu Moallin pamoja na msaidizi wake

    Duuh ila jamaa yuko vizuri inawezekana wameshafanya usajili wa kocha mbadala maana ligi bado ni mbichi
  9. M

    Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Kuandika sijui ila nashukuru umeelewa kuwa ni mademu bumbaaaav zako hiyo suo dela nini maana yake
  10. M

    Hizi bia zenye jina la hifadhi zimechakachuliwa

    Ukinywa hizo ata moyo wenyewe utaona umechakachuliwa haupendi kumwagiliwa na bia bandia tumia na 1 au na 2
  11. M

    Kujiangalia kwenye kioo usiku

    Wakuu twende kwenye mada, hivi ukijiangalia kwenye kioo kikubwa usiku kwa muda mrefu ukiwa chumbani mwako ukiwa umezima taa je kuna madhara yoyote unaweza kuyapata kiroho? Wanazengo tupeni maoni yenu.
  12. M

    Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
  13. M

    Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Mpuuzi mkubwa kabisa wewe
  14. M

    Diamond ni Balozi mzuri, asemehewe

    Mshana Jr upo sahihi kwa mtazamo wako na wengine kwa jicho la tatu. Ila dogo pamoja na kuwa yeye ni tajiri kibongobongo ana dharau sana kwa wanamuziki wenzake na alishawahi kutoa kauli kuwa wote wajipange wafanye show pamoja alafu yeye atawakalisha, hiyo ni dharau kubwa kwa upande wa medani za...
  15. M

    Diamond kaangushwa na mameneja wake sio Wanaharakati

    Duuuuuh hiyo ni CV ya mama wa mwanamuziki mkubwa toka Africa mashariki na kati halafu ndo aweze kutoboa kimataifa kweli acheni ushamba, meneja wake ni mganga mzuia mvua mwingine muuza drugs na maisha ya ujanja ujanja unategemea nini hapo tena bora wameshindwa maana angerudi na tuzo huyo kwa...
  16. M

    Ajali ya gari Mkuranga

    Habari Wanabodi kuna ajali ya gari imetokea usiku wa kuamkia leo barabara kuu ya Kilwa eneo la Mkuranga kijiji cha Dundani ambapo semi la Dangote limegongana uso kwa uso na gari la Tanesco Mkuranga na kusababisha vifo kwa watu 4 sikufanikiwa kupata picha but poleni wafiwa na update zaidi atujulishe.
  17. M

    Hatimaye Diamond anunua Private Jet

    Huyu ni tapeli tu anapenda kwenda na akili za watanzania wengi kila akisema kitu watu wanashabikia lakini hakuna ukweli wowote. Hana utajiri wowote yote ni madrama tu anapenda kuendesha maisha kwa kiki tu sio maisha halisi. Watanzania lazima tuelewe kuna maisha halisi na maisha ya mtandaoni na...
  18. M

    Ma-DJ wa Enzi zetu za 1990

    Hotel 77 Arusha enzi hizo kulikuwa na totoz wa kishua wakali kinoma pia majimama wanaopenda mabrazamen. Yuko wapi Elisante jamaa alikuwa na mavumba hatari anaingia kiwanja na totoz hadi wa3 anawala hadharani duuuuuh
  19. M

    Kwanini waandishi na wachambuzi wa michezo wanamuogopa Haji Manara?

    Duuuh ebu tupe maelezo kidogo ina maana Maulid Kitenge ni mchicha mwiba na vp kuhusu kusafiri mara kwa mara nje ya nchi.
Back
Top Bottom