Mbuna Senior
Member
- Aug 2, 2016
- 55
- 125
Wakuu twende kwenye mada, hivi ukijiangalia kwenye kioo kikubwa usiku kwa muda mrefu ukiwa chumbani mwako ukiwa umezima taa je kuna madhara yoyote unaweza kuyapata kiroho?
Wanazengo tupeni maoni yenu.
Wanazengo tupeni maoni yenu.