Search results

  1. Kibirizi

    DATA RECOVERY SOFTWARE FROM FORMATTED PARTITION OF HDD/SSD

    Habari Wakuu Naomba mwenye software ya kurudisha data ambazo zilikuwa kwenye partition ya HDD lakini kwa bahati mbaya ikawa formatted
  2. Kibirizi

    ADOBE ACROBAT DC PRO

    Habari Wakuu. Naomba mwenye Adobe Acrobat DC au sehemu ambayo naweza dowload sihitaji Adobe Acrobat X Pro
  3. Kibirizi

    Msaada wa kupakuwa Drivers za Samsung 300E4C

    Habari, Msaada wa link ya kudownload drivers za Samsung model 300 E4C ambazo haziuzwi. Baada ya ku upgrade kutoka Windows 7 kwenda Windows 10 pro 64bits nimepata tatizo za drivers, bluetooth, display etc. Nimejaribu kusearch nakumbana na za kuuza tu. Je, wapi nitapata kwa free.
  4. Kibirizi

    Window 7 inaanza na screen nyeusi

    Wakuu wazima. Nina shida na win 7 nikiwasha computer inaonekana kama nimeistall win 2 nifanyeje.
  5. Kibirizi

    AINA IPI YA COMPUTER [LAP TOP] NI NZURI?

    Mambo! Aisee ni computer [Laptop} gani ambayo ni nzuri kwa maana ya kudumu na muonekano mzuri, na kwa Dar es Salaam ni sehemu gani ninaweza pata ambazo ni original.
  6. Kibirizi

    Window 7 proffesional activation/loader

    Naomba msaada mwenye kujua ku - activate win 7 prof, nimeistall ila inasema zimebaki siku tano.
  7. Kibirizi

    Text watermark in publisher 2010 msaada!

    Tafadhari mwenye kufahamu namna ya kuweka hii "text watermark" kwenye certificate/cheti, nimejaribu ku google nimepata ila kuna sehemu inanishinda kwenye TIP na namba 7, natanguliza shukrani za dhati.
  8. Kibirizi

    Huyu ni mpenzi au bomu la machozi?

    Mimi nina mahusiano na binti mmoja kwa sasa mahusiano yetu yamefikia miaka mitatu. Lakini cha kushangaza kila ninapokutana naye lazima nitoke machozi, yaani lazima atapigiwa simu ambazo zinanikwaza na nikijaribu kudadisha mwisho wa siku lazima nitoke machozi. Pia nikikagua simu yake lazima...
  9. Kibirizi

    Window 7 professional activation/crack

    Wakuu msaada jinsi ya kuactivate/validate win 7 professional, kama kuna mtu mwenye link naomba msaada.
  10. Kibirizi

    AutoCad 2009 64 bit

    Nahitaji programme tajwa hapo juu iwe kwa kununua au link ya kudown free ikiwa full with serial, cracked or patched.
  11. Kibirizi

    Msaada Microsoft Office 2010 ( How to activate)

    Heshima mbele, nimeipenda hii "office" ni install lakini inaniletea message ya "product activation failed" Kwa ufafanuzi nimeambatanisha screen shot
  12. Kibirizi

    Msaada Adobe photoshop CS 5 Extended (how to patch)

    Wakuu heshima zenu, nimepatwa na tatizo la kiufundi wakati wa kufanya installation ya Adobe photoshop CS5, kwa ufupi installation imemaliza tatizo ni kuifanya isiwe trial ndio imenishinda, kila nikiapply patch inagoma kwa ufafanuzi nimeattach screenshot. Computer yangu ni 64bit. Ram 4gb, speed...
  13. Kibirizi

    Nani mwanzilishi wa maneno Papuchi/papuche, gegeda na dushelele

    Hayo maneno yamekuwa maarufu sana na nani mwanzilishi na ni kiswahili au ligha gani?
  14. Kibirizi

    Ni nini Sababu ya wanawake kujichubua/tumia mkorogo?

    Nimejiuliza muda mrefu sababu ya msingi ya dada/mama zetu kujichubua na kutaka kupata rangi nyeupe nimekosa majibu, kwanza nikafikiri ili wapate wa kuwapenda lakini upande wa pili nikagundua hata wa kwenye ndoa nao wanafanya hivyo, lakini wakati wanapendwa au olewa hawakujichubua, naomba majibu...
  15. Kibirizi

    Msaada bei ya Tecno P5

    Anayefahamu bei ya simu ya Tecno P5 na changamoto zake anijuze
  16. Kibirizi

    Nini tofauti kati computer ya 32 bit na 64 bit?

    Rejea kichwa cha habari, naomba mwenye ufahamu juu ya tofauti kati ya computer ya 32bit na 64bit, ingawa kwa sasa naona computer nyingi zinakuwa 64bit, je unaweza badili kutoka 64 to 32 bit.
  17. Kibirizi

    Data usage warning?

    Nina tecno yangu nikijiunga sana na bundle mwisho wa siku inakuja icon inaandika data usage warning sasa hii sms ina maana gani msaada tafadhari.
  18. Kibirizi

    Kuna mahusiano yoyote katika kutoa bikira na kutoka damu

    Hivi vitu vyote hivi vinaenda pamoja yaani mwanamke yeyote hawezi kutolewa bikira bila kutoa damu wakati wa tendo la ndoa au ni propaganda tu. Mwenye ufahamu na uzoefu msaada.
  19. Kibirizi

    Nani mhusika mkuu (mwanaume au mwanamke) katika kuzaa watoto wazuri?

    Jambo hii nimeshindwa kupata ufumbuzi, ni ukweli usiopingika kuona baadhi ya familia zina watoto wazuri sana (afya, sura, maumbo na muonekano) lakini kuna baadhi unaweza sema kama mtoto ndio hawa bora nisiwe na mtoto, vitoto vibaya hata ufanye nini havipendezi, lakini kwa upande wangu naona...
  20. Kibirizi

    Nini husababisha maziwa ya wadada kulala?

    nimekuwa nikiuliza kitambo bila kupata majibu, ni nini hasa husababisha maziwa ya akina dada kulala na wakati wengine wenye sifa za pamoja hayalali.
Back
Top Bottom